Bailando Lyrics
...
Bailando Lyrics by ALIKIBA
Yeah
African princess
Naugua naugua
Kukupenda naugua
Nakupa yako maua
Kunipenda umejua
Naugua naugua
Kukupenda naugua
Nakupa yako maua
Kunipenda umejua
Roho yangu sultani
Kwa mwinigine sitamani
Umenijaa moyoni
Nakupenda hayawani
Mimi pembeni sitazami
Umenizidi mzani
Hoi wabin taaban
Na sijuitii hasirani
We umeniathiri
Tabia umenibadili
Mwenyewe si unaona aaah
Tumerandana mwili
Utambi na kandiri
Mwenyewe si unaona, naona
Bailando, baila baila
Mi amor, baila baila
Bailando, baila baila
Mi amor, baila baila
Mi amor, ooh mi amor
Baiii, bailandooo
Astee astee na kipira babe
Moyo unadunda kwa grade
Aii mwenzako na dead
Ufundi ka tuko garage
Aaaah si utaniua babe
Moyo unodunda kwa grade
Haya unayonipa mapenzi
Umeniwezaa
Mwenzakooo mimi
Yaani wewe
Moyo wanguu
Moyo wakooo
Nia yangu
Nia yako
Mpaka mwisho
Mpaka kifo
We umeniathiri
Tabia umenibadili
Mwenyewe si unaona aaah
Tumerandana mwili
Utambi na kandiri
Mwenyewe si unaona, naona
Bailando, baila baila
Mi amor, baila baila
Bailando, baila baila
Mi amor, baila baila
Mi amor, ooh mi amor
Baiii, bailandooo
Watch Video
About Bailando
More ALIKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl