Top Notch Lyrics
...
Top Notch Lyrics by ALIKIBA
Yeah
Mmmh
Asubuhi ana niitaga my love
Mchana ana niitaga baby, baby
Usiku ana niitaga wa ubavu
Alafu mi mwenyewe mi
Ye ndo tamu yangu ah
Akiamkaga anasema ananipenda
Hawezi kuniacha
Hata apewe nini
Hawezi kunai ah
Amesema mi wa mwisho kunipenda ah
Hawezi kuniacha
Hata apewe nini
Hataki kuniacha
From the head to the toes
We bado top notch
Baby girl nikiwa kwake najipata
Am a city boy ila we ni masta
Ukigusa ukiniita yani tam tam
From the head to the toes
We bado top notch
Baby girl nikiwa kwake najipata
Am a city boy ila we ni masta
Ukigusa ukiniita yani tam tam
Shikamoo shika rphp
Je m’appelle ali k
Wache waone nakuganda
Nakupenda kama holidays
Kwanza unavyonipea
Mambo mazuri mambo yeah
Kuna level i want show you
Loving you i swear and i dare
Unawaringia ringia
Ukiona wanalia wanaumia
Usipagawe na madudu
Kwani ndo baba yao
Okay babe ringa niwimbe
We share body
We are one body
Me want no body
Your my body, you my fantasy
You my everything girl
From the head to the toes
We bado top notch
Baby girl nikiwa kwake najipata
Am a city boy ila we ni masta
Ukigusa ukiniita yani tam
Balaa balaa balaa yeah
Balaa balaa top notch
Balaa balaa balaa yeah
Balaa balaa top notch
Balaa balaa balaa yeah
Balaa balaa top notch
Balaa balaa balaa yeah
Balaa balaa top notch
Watch Video
About Top Notch
More ALIKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl