Hatari Lyrics
...
Hatari Lyrics by ALIKIBA
Yeah
Yeeah
Jeteme
Geniusjini x66
Umenicorruptisha
Nilikua na mapressure tu
Alinidhalilisha
Alinicha hadharani, hadharani
Ningeaga maisha
Nilishafikia kikomo
Ukanikarikibisha, kabisa ukani adaptisha
Umenipensezesha, ukaning’arisha
Ku achana na yule mbwa wa mwanzoni
Alienikondesha, uso uliojawa na vishimo
Nikapoteza mwonekano
Nikaonekana ka kituko
Kumbe yaliyomo yamo, ooh na bado
Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama atajitoa roho
Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama atajitoa roho
Hatari hatari hatari
Hatari mpenzi
Hatari hatari hatari
Hatari mpenzi
Hatari hatari hatari
Hatari mpenzi
Hatari hatari hatari
Hatari mpenzi
Oooooh oaaaah
Wananita jay
Jay once again
Another day mimi nawe
Tuko nyumbani
Tunakula chapatti na visupu
Usiombe ukiniita honey
Tunaanza vurugu usumbufu
Maumivu sijuagi
Ya ndo anaenipa furaha aah
Na wala siteseki
Niko angani juu napaa
Acheni penzi letu listawi
Hamjui aliponishika
Hata kama akienda mbali
Kumfata hio ntalazimika, huu moto
Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama atajitoa roho
Taratibu mama, tunamuumiza roho
Taratibu mama atajitoa roho
Hatari hatari hatari
Hatari mpenzi
Hatari hatari hatari
Hatari mpenzi
Hatari hatari hatari
Watch Video
About Hatari
More ALIKIBA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl