Nimekumiss Lyrics
...
Nimekumiss Lyrics by Angella Tz
Babe hata tukilala uanze kulala wewe afu ndo nilale mimi
Nikulinde madhara visikusumbue vijini visirani
Hata nikiwaga na njaa uanze, kula wewe afu ndo nile mimi
Hata kama sijala ukishiba wan do furaha yangu mimi
Yakhabibi nataman tuwe ndege tukiruka mabawa yagusane
Ikibidi penzi tuliweke zege tueke ukuta wabaya wasituone
Lakhazizi pamoja tusimame dede bega kwa bega si tuambatane
Tuweke ulinzi penzi lisiwe lege lege ai wee ai babaaa
Babe nimekumisi
Nikutambie hadithi huku ukinikiss me na wewe
Me ne wewe
Babe nimekumisi
Nikutambie hadithi huku ukinikiss me na wewe
Me ne wewe
Nitakupa roho nitakupa na mtima
Nitakupa cheo cha baba la baba
Alafu kwenye mxili nitajichorachora jina lakoo
Umepewa macho unione mimi tu
Umepewa sikio unisikie mimi tu
Umepewa mgongo unibebe mimi tu
That’s why everything i do for you uh
Yakhabibi nataman tuwe ndege tukiruka mabawa yagusane
Ikibidi penzi tuliweke zege tueke ukuta wabaya wasituone
Lakhazizi pamoja tusimame dede bega kwa bega si tuambatane
Tuweke ulinzi penzi lisiwe lege lege ai wee ai babaaa
Babe nimekumisi
Nikutambie hadithi huku ukinikiss me na wewe
Me ne wewe
Babe nimekumisi
Nikutambie hadithi huku ukinikiss me na wewe
Me ne wewe
Watch Video
About Nimekumiss
More Angella Tz Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl