Utadunda Lyrics
...
Utadunda Lyrics by Angella Tz
Baby nipe tamtam
Kitu sopsop, kitu bambam
Sii mimi nimapenzi yamenikaba
Ooh zidisha hata yakipanda bei
Iiih jeuri sina babaaa wee
Siri yamapenzi ni kuwa na mtu flani hivi
Anaenkupendaa, unaempendaa
Sweetie ukiniacha naanzaje nitaanguka
Kaa ukieenda sina, kimbilio moyo moyooo
Utadunda eeh
Utapasuka eeh
Hata usikae mbali nami moyo moyoo
Utadunda eeh
Utapasuka eeh
Hata usikae mbali nami moyo moyoo
Umenipa upako penzi lako la ajabu
Umenifungua macho kwa raha zako nisipate tabu
Kama ukilia koko nitalia koko
Nitakubembeleza kama mtoto
Mie niko hapo nawe upo hapo
Nahisi rah asana aah
Siri yamapenzi ni kuwa na mtu flani hivi
Anaenkupendaa, unaempendaa
Sweetie ukiniacha naanzaje nitaanguka
Kaa ukieenda sina, kimbilio moyo moyooo
Utadunda eeh
Utapasuka eeh
Hata usikae mbali nami moyo moyoo
Utadunda eeh
Utapasuka eeh
Hata usikae mbali nami moyo moyoo
Watch Video
About Utadunda
More Angella Tz Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl