Mbeleko Lyrics
Mbeleko Lyrics by RAYVANNY
alisemanga dunia ina mapambo yake eeh
ukiacha majumba pesa magari ni wanawake eeh
nimezunguka aah nimefika kwake eeh
siwezificha nimeshanasa
kwa pendo lake eeh
halabaani
kakuumba kimwana mwenye sifa ya upole
ata mama kakusifu sana kitofauti na wale wajane
kule nilizama tafadhali niokoe mamamaa. unipulize nipoe
We ndo my queen baby my only sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako jiachie tu nikubebebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako jiachie tu nikubebebe
We kama mtoto mii nakubembeleza jiachie tu nikubebe
Na jicho lako lakungu kama la nikonyeza jiachie tu nikubebe eeh mmm
Umenivuta kwa ulembo mpaka matendo umenikamata
kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
kisura shepu sio tembo taweka nembo watoto kupata
koleza motoo tupike tembele kisamvu cha nazi njegele
sisi kutishe kelele sikwachi iih
Linda nashamba wasije ngedele kuku niitee kwa muchelee
Mii sipigani na wewe manatii iih
Ndio manaa kwako nimezamaa sitaki mii wanitowee mama maaa
Unipulize nipoee
We ndo my queen baby my only sitopenda uende mbali one day
We ndo my queen baby my only sitopenda uende mbali one day
Naficha mbeleko kwa ajili yako jiachie tu nikubebebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako jiachie tu nikubebebe
We kama mtoto mii nakubembeleza jiachie tu nikubebe eee
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza jiachie tu nikubebe eee
Naficha mbeleko kwa ajili yako jiachie tu nikubebe
Naficha mbeleko kwa ajili yako jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza jiachie tu nikubebe eee
Na jicho lako la kungu kama la nikonyeza
Jiachie tu nikube jiachie tu nikubebe…jiachie tu nikubebe
We kama mtoto mii nakubembeleza
Na jicho lako lakungu kama lanikonyeza
Ayo Laizer
Watch Video
About Mbeleko
More RAYVANNY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl