Tingisha Lyrics by RAYVANNY


(It's S2kizzy beiby)

Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha

Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Mkono weka kwenye kiti (Tingisha!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)

Viuno vimekatika na-ti!
Masha Love anatingish ma-ti (Ti ti ti)
Vuka kanga dera nitafua sha-ti!
Ukilewa nipe katika-ti-ti-ti!

(Aah aah aah, aah aah aah) 

Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Mkono weka kwenye kiti (Tingisha!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)

(Aah aah aah, aah aah aah) 

[Frenna]
--------
Lyrics in French
-------

(Aah aah aah, aah aah aah) 

Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha

Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Mkono weka kwenye kiti (Tingisha!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)

Baikoko mdumange
Moshi wa bangi shushia na gambe
Kuna watoto chai makande
Wazee wa kusafiri busaa kwa Mpalange (Aiyeyeye)

Dada ita wenzako leo ghetto kuna pa-ti!
Alafu mimi ndo King Mswa-ti-ti-ti!
Wakitaka pombe zipo keiva-ti
Ali kasusu ipo kwa kaba-ti-ti-ti!

Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha
Ti! Ti! Ti! Tingisha

Yaani kama kiberiti (Tingisha!)
Tuone kama kuna njiti (Tingisha!)
Mkono weka kwenye kiti (Tingisha!)
Chezesha matikiti (Tingisha!)

Watch Video

About Tingisha

Album : Sound from Africa (Album)
Release Year : 2021
Copyright : © 2021 WCB Wasafi
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 31 , 2021

More lyrics from Sound from Africa album

More RAYVANNY Lyrics

RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl