Nipende Lyrics
Nipende Lyrics by RJ THE DJ
Ni manzi sikutambua
We ndio fungu langu
Sirudi nilipotoka
Niliumizwa vibaya
Machungu kuvumilia
Vidonda moyoni mwangu
Nipende
Usijepita kama njia
Mapenzi yanaumiza
Tena vibaya sana
Kuna muda utalizwa
Na bado hausikiii
Japo yamenishika
Nakosa la kusema
Mpaka nahisi miujiza
Ulikuwa wapi?
Kuna muda nawaza
Ni wapi nilipokosea
Wapendwa wengine
Wasiojua nini upendo
Nipende nijinasue
Nijinasue
Nipende nijinasue
Nijinasue
Nifunge mboni zangu nikiwa nawe
Maana we ndo wanikosha
Kwako beiby nimefika
Mwingine sitaki mie
Nataka ndugu zangu wajue
We ndo pumzi yangu mpaka
Nikuzalie kadada
Na ka kaka kafuatie
Zidisha lako penzi nienjoy
Moyoni nitakutunza sikutoi
Naomba nimalize
Na jengazo makusudi
Kuna muda nawaza
Ni wapi nilipokosea
Wapendwa wengine
Wasiojua nini upendo
Nipende nijinasue
Nijinasue
Nipende nijinasue
Nijinasue
Watch Video
About Nipende
More RJ THE DJ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl