Zuena Lyrics by RAYVANNY


(Eyo Trone)
Mocco!

Kimaso maso aah, umenifuta machozi
Umenifuta jasho aah
Nimesahau machungu naenjoy kwako aah
Niko dunia nyingine eeh

Nitachonga barabara ya mapenzi mi nipite nawe
Iwe imara imara kwa ujenzi kokoto mawe
Naomba sana saa kwa Mwenyezi nizikwe nawe
Unang'ara ng'ara mbalamwezi such a --

Oh my God
I feel so lucky to have you in my life
Oh my love
You are the bleesing for me, from above

Oh my love
I'll be your man forever
You will be my wife
Baba God atulinde mi nawe
Together for life yeah

Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena ooh I love you (Zue, Zuena)

Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)

Kanitoa bahari ya kusi 
Kanileta mashariki (Zuena)
Mwenye uzungule, mwenye nyeusi nyusi 
Hizi mbichi haziliki (Zuena)

Nikupindue pindue
Kama nageuza samaki (Samaki)
Wasiojua wajue
Nimekupenda sikuachi 

Oh my God
I feel so lucky to have you in my life
Oh my love
You are the bleesing for me, from above

Oh my love
I'll be your man forever
You will be my wife
Baba God atulinde mi nawe
Together for life yeah

Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena ooh I love you (Zue, Zuena)

Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)
Zue, Zue, Zue, Zuena (Zuena)

[Weasel]
Am addicting mum
Falling for your love my heart twisting
Bolinga ka suti.. na mukwano interesting
Chungwa la macho mama
Wanauliza mbona unanipenda
Wanna put a ring in your finger --

Zue, Zuena, Zue, Zuena
Zue, Zuena, Zue, Zuena

Unapendeza sana sana (Zue, Zuena)
Unanimaliza sana sana (Zue, Zuena)
Zuena aah (Zue, Zuena)
Zuena ooh I love you (Zue, Zuena)

Zuena, Zue, Zue, Zue
In everything you do do do
I love you boo boo boo
You are my Zue, Zue, Zue
I mean Zue, Zue, Zue
You are my boo boo boo

(Mocco Genius)

Watch Video

About Zuena

Album : Sound from Africa (Album)
Release Year : 2021
Copyright : © 2021 WCB Wasafi
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 31 , 2021

More lyrics from Sound from Africa album

More RAYVANNY Lyrics

RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY
RAYVANNY

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl