Sisi Lyrics
Sisi Lyrics by RAYVANNY
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya ma ex zako
Raha kulewa mbele ya ma ex zako
Iyeee
Chuiii
Eeh vanny boy
S2kizzy baby
Hivi una akili wewe
Zina chaji kweli
Yani uko nabebe ina minyama tukuachie mwenyewe
Hivi una akili wewe
Zina chaji kweli
Yani uko nabebe ina minyama tukuachie mwenyewe
Hivi una akili wewe
Zina chaji kweli
Yani uko na danga lina mehela tukuachie mwenyewe
Hivi una akili wewe
Zina chaji kweli
Yani uko na danga lina mehela tukuachie mwenyewe
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya ma ex zako
Raha kulewa mbele ya ma ex zako
Shoot kila kitu watuone
Tunavyo kula bata iwachome
Sisi sio level zao watukome
Bado wananuka maziwa watoto wakanyonye
Sisi hao eeh sisi hao
Sisi hao, sio wengine ni sisi hao
Sisi hao, eeh sisi hao
Sisi hao, sio wengine ni sisi hao
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya maadui zako
Raha kulewa mbele ya ma ex zako
Raha kulewa mbele ya ma ex zako
Shoot kila kitu watuone
Tunavyo kula bata iwachome
Sisi sio level zao watukome
Bado wananuka maziwa watoto wakanyonye
Sisi hao eeh sisi hao
Sisi hao, sio wengine ni sisi hao
Sisi hao, eeh sisi hao
Sisi hao, sio wengine ni sisi hao
Watch Video
About Sisi
More RAYVANNY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl