Zungusha Lyrics
Zungusha Lyrics by KING KAKA
King Kaka and Ykee Benda
(You crazy oh yeah)
Swing swing swing swing
Swing your body closer to me baby
Swing swing swing swing
Swing your body closer to me baby
Zungusha mwili, zungusha mwili
Zungusha, bring your body closer
Zungusha mwili, zungusha mwili
Zungusha, bring your body closer eh
Basi whine, si nimependa doba since
Nikiwa mtoi na ma mocasine
Mami whine for my four cousins
Kuna work siku hizi ndio kazi
Na kama ilady mi nakaa masaa
Ukitaka nibaki basi whine kama saa
Hakuna curfew na kama saa yuko
Na kamata huko
Zungusha ka machine ya lotto
Kizungu shika kama mpiga photo
Zungusha kama pedi na kimoto
Zungusha mami zungusha mtoto
Swing swing swing swing
Swing your body closer to me baby
Swing swing swing swing
Swing your body closer to me baby
Zungusha mwili, zungusha mwili
Zungusha, bring your body closer
Zungusha mwili, zungusha mwili
Zungusha, bring your body closer eh
Basi swing swing kama tarzan kwa furi
Swing ama saba uichore
Swing kama kamba bure
Swing ni ka ni yako fore
Nifunze vile odijo alinifanya chuo
Unizungushe kama fundi wa nguo
Na kama nikikisha apewe
Natoka nitoke na wewe
Kifaranga ishalola mwewe
Yega na Remi basi ulewe
Taxi izungushe jiji kuu
Mtaani atadiscover ndovu kuu
Swing swing swing swing
Swing your body closer to me baby
Swing swing swing swing
Swing your body closer to me baby
Zungusha mwili, zungusha mwili
Zungusha, bring your body closer
Zungusha mwili, zungusha mwili
Zungusha, bring your body closer eh
Watch Video
About Zungusha
More lyrics from Happy Hour (EP) album
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl