KING KAKA Ingine  cover image

Ingine Lyrics

Ingine Lyrics by KING KAKA


(It's your favourite boy
Kashkeed on the track)

Ingine, ile ingine (Ati gani gani gani)
Ingine, ile ingine (Wacha nipige story sasa)
Ingine, ile ingine (Hakuna mwingine)
Ingine, ile ingine (Ah alright)

Last sato, sio hii ile ingine
Niko kejani sio East, ile ingine
Nikadunga clarks sio blacks zile zingine
Ka lesser nipite baro ile ingine
Uzuri nganya hupita njia ile ingine
Kushuka tunnel kwa stage, ile ingine
Nikapata imeshona niende club, ingine
Nduthi ikapita nikaitisha, ile ingine

Pale Blend kwa entrance, ile ingine
Na ameshona waiter akaitisha meza, ingine
Kuna waiter akadai niite ule mwingine
Enyewe tray ilikuwa imeshona angeangusha, ile ingine
Excuse pombe bado mnauza bei ingine
Sai kuna offer hio sio bei ingine
Seti Remy kwa rocks na unipe glass ingine
Nikurushe macho kwa meza ile ingine

Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine

Nikaona bonge la nyama na sio, ingine
Lakini alikuwa na jamaa, mwingine
Nishawaichapwa chupa so sitaki noma ingine
Nikawatch Arsenal wakichapwa bao zingine
Nikisip tu masip, zingine
But kuna mresh kwa kona ingine
Ananifinyia jicho ingine
Namuuliza ni mimi au ni kaka mwingine
Waiter ametumwa ati ni mimi sio mwingine
Nikamrushia beer mbili na nyama ingine
Waiter anakam tena kunishow anadai ingine
Roho safi ka Jamal mi nikarusha ingine
Na meno naonyeshwa ingine

Nishatext roommate naleta dem mwingine
Atafte roomate mwingine awe mwingine
Hajatoa rent ya last month na hio mwezi ingine

Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine

Anyways hio ni stori ingine
DJ anacheza ngoma ju ya ngoma zingine
Na dancefloor itajaa watahitaji ingine
Ule wangu bado ananionyesha been broke ingine
Then mabeshte wake wakajaa wengine
Fuliza yangu haitakubali nifulize ingine
Nikaone nilipe tujitoe kabla ingine 
Makarao wako na njaa ingine
Sasa naita ule dem na kidole ingine
Akakam na ule beshte mwingine
Nikamshow seti namba 07 ingine 
21 na akanipa kiss, ingine
Nikasema we wacha na hio namba ingine

Kukatokea bouncer flani, mwingine
Ameunga macho moja inacheki, kwingine
Kumbe huyu dem ni dem wa ringtone mwingine
Ule ule mmoja na sio mwingine

Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine 
Ingine, ile ingine

Watch Video

About Ingine

Album : Happy Hour (EP)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 14 , 2021

More lyrics from Happy Hour (EP) album

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl