Mali Safi Lyrics by KING KAKA

Mali safi mali safi
I don't know what I did to deserve you
Nimewahi the lords must be happy with me
This too fine you, I get from --

Mali safi, mali safi
Mali safi yeah
Mali safi, mali safi
Mali safi yeah

Yes I thank God, that I finally found you
Mali safi yeah
And I thank God more, for the mama that bore you
She born you yeah

I mean first time I saw you, nikidai hi boo
Salamu ingekuwa more than hi too
Hoping in the future useme I do
Si unipende basi nifiche aibu

Naskia mother ni teacher na mbuyu ni preacher
Basi love yetu iko guided na scripture
Magoti moja down na ring kwa finger
Mi sijali wacha nichome picha

Kwako nimefall vifala, leo rnb kiuno lingala
Hadi grey hair, hadi kihara
Mali true, mali imeng'ara

Mali safi, mali safi
Mali safi yeah
Mali safi, mali safi
Mali safi yeah

Yes I thank God, that I finally found you
Mali safi yeah
And I thank God more, for the mama that bore you
She born you yeah

Mali safi haiwezekani 
Kuuzwa bei ya jioni
Mali safi haijitangazi 
Kioo chako hakidanganyi

Na ninahakika nimebarikiwa
Kwa bidii ishaandaliwa, hii December majaliwa
Nina uhakika nimebarikiwa
Kwa bidii ishaandaliwa, hii December majaliwa

Mali safi, mali safi
Mali safi yeah
Mali safi, mali safi
Mali safi yeah

Yes I thank God, that I finally found you
Mali safi yeah
And I thank God more, for the mama that bore you
She born you yeah

Nimeangukia sijaanguka mtaani
Hata kama nimekapitia, nimepita na mali safi
She born you eeh

Watch Video

About Mali Safi

Album : Happy Hour (EP)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
Published : Dec 14 , 2021

More lyrics from Happy Hour (EP) album

More KING KAKA Lyrics

KING KAKA
KING KAKA
KING KAKA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl