Hera Onge Lyrics
Hera Onge Lyrics by KING KAKA
Mtoto ya Pamela, hera onge
Na papa Kinuthia, hera onge
Hera onge
Gutire unge tawe
Na indu ciakwa ciothe ndetha ndiage nawe
Kiroto kiagwa o hende ndakoma
Ngorwo nawe matuko makwa mothe
Na tuko pose dopes jo Burj Khalifa
Ugali pus pus, you my boo kabisa
Panda first class hio ndo maisha si huongelea
Swimming Maldives, hio ndo maji si huogelea
Niko na money si uite nani
Tuko ndani mafish, wangni
...Love don't kongwe
Kitu safi imesimama, ler ndi pengting
Waambie wewe ndo master, chalji chingchong
Wajue tunapendana, vimeja kingkong
----
Luo language
----
Gutire unge tawe
Na indu ciakwa ciothe ndetha ndiage nawe
Kiroto kiagwa o hende ndakoma
Ngorwo nawe matuko makwa mothe
Wacha mapenzi i-overflow
Utadhani supu ya Central
My cherrie usigo, ukiniwacha nitago-mental
Time friends wako walisema sitoshi
Nilikuwa na afford tu mboga
Sai natosha na sio kutosha tu
I say natosha mboga
Gucci ficha uchi
Range next ni Benz
Kadi ni nyeusi I say black Exellence
---
Luo Language
---
...Love don't kongwe
Kitu safi imesimama, ler ndi pengting
Waambie wewe ndo master, chalji chingchong
Wajue tunapendana, vimeja kingkong
---
Luo Language
---
Watch Video
About Hera Onge
More lyrics from Happy Hour (EP) album
More KING KAKA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl