Zimelipuka Lyrics
Zimelipuka Lyrics by MAGIX ENGA
UUuuuuuuuuuuuu!!!
Miracle Baby, ni Zzero
Ssaru, Wakuu!
Hii ndo ile doba mi huskiza nikiwa mogoka
Ile ndo doba mi huskiza nikiwa nimechoka
Doba ukiskiza mashetani zinatoroka
Doba ukiskiza zikiwa zimeshika roho inashtuka
(Magix Enga on the beat)
Officer unachoma mbisha
Unajua zimenishika acha ni- homishe guitar
Ngai Officer unachoma mbisha
Unajua zimenishika acha ni- homishe guitar, wooii
Zimelipuka, ati bro zimelipuka
Zimelipuka, ati bro zimelipuka
Zimelipuka sio zimelipuka
Hii ndio ile doba unaskizanga
Zikiwa zimelipuka
Doba ni noma naskia ka imeanza kuwa catchy
Na zimenishika naskia ka nimeanza kuwa touchy
Touchy utaskiza ata kama we ni mclassy
Uzitoke hadi ile gethaa unaskia kuvua shati
Ah si tuko party buda usilete masharti
Na denge amejibeba ndo anawekwa kati kati
Ah ju zimenishika niko rada na wakati
We sai umesundwa chemba tu usifike huko kwa panty
Hii ni banger ka hauko rada inakubeng
Deng umeziseti na uko jaba na kidem
Ah ka ni chain inapitanga tu kwa gang
Knees and toes baby bend for the cane
Hii ndo ile doba mi huskiza nikiwa mogoka
Ile ndo doba mi huskiza nikiwa nimechoka
Doba ukiskiza mashetani zinatoroka
Doba ukiskiza zikiwa zimeshika roho inashtuka
Officer unachoma mbisha
Unajua zimenishika acha ni- homishe guitar
Ngai Officer unachoma mbisha
Unajua zimenishika acha ni- homishe guitar, wooii
Zimelipuka, ati bro zimelipuka
Zimelipuka, ati bro zimelipuka
Zimelipuka sio zimelipuka
Hii ndio ile doba unaskizanga
Zikiwa zimelipuka
Head shoulder knees and toes
Nikiwa kwa bukla na nimepiga magoogles
Mejegi zimetoka na ziko na joto
Naskia nimembao niziguze kidogo
Eeh watu ni wengi hujifanyaga kula ngima bomb
Lakini wengi wanachoma
Wengine hutuonaga eti bado si hatunaga form
Lakini bado tumesoma
Patana na mimi pia nikizichamber hizi machuom
Nasaka vile jo nitabonya
Patana na mimi pia nikizichamber hizi machuom
Nasaka vile jo nitabonya
Hauskii nimejipanga niko na kashamba
Leo ni jaba aluta, jaba aluta
Hauskii nimejipanga niko na kashamba
Leo ni jaba aluta, jaba aluta
Zimelipuka ni ka niko tei
Ukinipa nitakula ni kama ni main
Na vile nimekuwa nikingoja for days
Nabeba na uzito ju vile ina weight
Na kama ni gwangi kukula hii main
Na kama ni safi nakula si date
Na kama ni gode mashada madre
Na kama Fore safari haimake
Niko na gang gang mimi ni kingpin
Mi huwa na clique gang ka huwezi bang shit
Kama ana blame blame, nakula side chic
Niko mogoks, turi ka props
Shika kachok, nitapiga shot
Flavour za pause, mi huwa siforce
Na kwachu za kutu-coach mmmh
Officer unachoma mbisha
Unajua zimenishika acha ni- homishe guitar
Ngai Officer unachoma mbisha
Unajua zimenishika acha ni- homishe guitar, wooii
Zimelipuka, ati bro zimelipuka
Zimelipuka, ati bro zimelipuka
Zimelipuka sio zimelipuka
Hii ndio ile doba unaskizanga
Zikiwa zimelipuka
UUuuuuuuuuuuuu!!!
Watch Video
About Zimelipuka
More MAGIX ENGA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl