Nipe Nguvu Lyrics
Nipe Nguvu Lyrics by KIDUM
Baba baba baba baba baba
Bwana Mungu Baba
Eeeh eeeh eeeh
Ni siku nyingi
Nimekaa nikijiuliza
Mfano wako Baba
Na walimwengu
Wewe ni mwema
Baba wa huruma
Muumba wa mbingu na dunia
Mwanzo na mwisho
Sisi watoto
Nitakusifu
Nitakuabudu
Ndio sababu nasema asante
Nishike mkono, nisiangue
Nahitaji msaada, kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu baba
Mimi niwe wako (niwe wako)
Tazama kila pande ya dunia
Kuna viumbe za kila aina
Na kuna sisi kwa mfano wake
Mungu baba ni mwenye kutujali
Mungu baba ni mwenye ni kutupenda
Umelipa ngapi kwa uhai wako
Umefanya nini kwa kubarikiwa
Mungu ni mwema
Mwenye rehema
Mwenye rehema zote
Nishike mkono, nisiangue
Nahitaji msaada, kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu baba
Mimi niwe wako
Mimi niwe wako
Niwe wako Baba
Tuko mbele zako
Tukipiga magoti Baba
Tusamehe dhambi zetu
Tuko mbele zako
Tukiwa wanyenyekevu
Baba tupe amani
Tuko mbele zako
Tukipiga magoti Baba
Tusamehe dhambi zetu
Tuko mbele zako
Tukiwa wanyenyekevu
Baba tupe amani
Ndio sababu twacheza gitaa hiviii
Twacheza gitaa kwa sifa zako Baba
Kwa utukufu wako tukikutukuza
Eeeh eeeh
Nishike mkono, nisiangue
Nahitaji msaada, kutoka kwako
Nipe nguvu na uvumilivu baba
Mimi niwe wako
Nishike mkono nisiteleze Mungu baba
Mimi niwe wako
Mimi niwe wako
Mimi niwe wako
Watch Video
About Nipe Nguvu
More KIDUM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl