Umwema Lyrics
Umwema Lyrics by NATASHA LISIMO
Hey yeah yeah .... Wewe ni mwema
Niliyovuka ni mengi
Siwezi tazama nyuma
Kwa visa vingi vitimbwi
Aaai, asante Baba
Si kwa akili zangu
Wala nguvu zangu mwenyewe
Wewe ni mwema
Umenuivusha na mengi magumu
Yanayoelezeka na yasiyoelezeka
Umenifuta maumivu
Ukanipa amani
Wa ajabu, fahari yangu
Mtetezi wangu, wewe ni mwema
Mwalimu wangu, shujaa wangu
Kiongozi wangu wewe ni Baba
Oooh oooh ...umenikunguta mavumbi wewe ni mwema
Oooh oooh ...umenipandisha pandisha wewe ni Baba
Oooh oooh ...umenifanya chombo cha sifa kwa walimwengu
Oooh oooh ...umenipandisha pandisha wewe ni mwema
Ungetazama vyeo
Uzuri na mali mimi ningekuwa wapi?
Kiukweli upendo wako hauna kipimo
Umenipenda bure
Kwa kupigwa kwako mimi nimepona
Neema yako ya kweli ya ajabu
Umenifanya mwanao
Ukanipa uzima na afya
Umenifuta maumivu (eh)
ukanipa amani
Wa ajabu, fahari yangu
Mtetezi wangu, wewe ni mwema
Mwalimu wangu, shujaa wangu
Kiongozi wangu wewe ni baba
Oooh oooh ...umenikunguta mavumbi wewe ni mwema
Oooh oooh ...umenipandisha pandisha wewe ni Baba
Oooh oooh ...umenifanya chombo cha sifa kwa walimwengu
Oooh oooh ...umenikunguta mavumbi wewe ni mwema
Wewe ulikuwa mwanzo
Na bado utabaki kuwa mwisho
Kwenye utata na vikwazo
Bado utabaki sukuhisho
Wewe ni taa na mwanga
Humulika popote palipo na giza
Maana hakuna jambo gumu ambalo wewe bwana unashindwa
Umenipa amani (aaah hey)
Umenipa furaha(aah hey)
Jemedari (aah hey)
Yesu nakupenda
Umenipa uzima (aaah hey)
Umenipa heshima(aah hey)
Yesu weeeh (aah hey)
Bwana nakusifu
Oooh oooh ...umenikunguta mavumbi wewe ni mwema
Oooh oooh ...umenipandisha pandisha wewe ni Baba
Oooh oooh ...umenifanya chombo cha sifa kwa walimwengu
Oooh oooh ...umenipandisha pandisha wewe ni mwema
Watch Video
About Umwema
More NATASHA LISIMO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl