Hatuna Lyrics
Hatuna Lyrics by KIDUM
Wacha niseme ukweli
Umenifunza mimi kujua kupenda
Kila ninapopita
Maswali mingi sana vipi nimekupata
Hawajui kila kifuli
Kwamba ina kifunguo chake na namna yake
Hawaoni na kujipa majibu
Mambo yetu ni filamu tamu
Alafu inawapatia hamu
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Mambo ya majivuno na majigambo
Uzuri wetu hatuna, hatuna
Mambo ya majivuno na majigambo
Uzuri wetu hatuna, hatuna hatuna
Maajabu kila mtu sasa ameona uko mrembo
Maneno yameanza na shida zimeanza
Waeleze tafadhali kwamba vikielea
Basi wajue vimeundwa, vina mwenyewe
Wanameza mate nikila nyama
Mambo ya watu ni kutusema
Kutusengenya haibadilishi chochote
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Mambo ya majivuno na majigambo
Uzuri wetu hatuna, hatuna
Mambo ya majivuno na majigambo
Uzuri wetu hatuna, hatuna hatuna
Hatuna majigambo na majivuno
Songa karibu nami
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Songa karibu na mimi
Eh eh songa karibu na mimi
Mambo ya majivuno na majigambo
Uzuri wetu hatuna, hatuna
Mambo ya majivuno na majigambo
Uzuri wetu hatuna, hatuna hatuna
Watch Video
About Hatuna
More KIDUM Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl