KEEPITREAL Yesu ni Mimi na Wewe cover image

Yesu ni Mimi na Wewe Lyrics

Yesu ni Mimi na Wewe Lyrics by KEEPITREAL


Nataka Yesu yuko wapiii..
Soma Bible halla halla
Nataka yesu yuko wapiii..
Soma Bible halla halla

Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we

Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na...
Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na...

Nataka Yesu yuko wapiii..
Soma Bible halla halla
Nataka yesu yuko wapiii..
Soma Bible halla halla

Mic check 1, 2
Waite watu
Nilot, bantu
Wajue Yesu ni mimi na we

Kama ni right then I do
Ju utaona light vile unadu
Danganya light aah aah du

Yesu ni mimi na we

Napendaga Jesus eeh
Mi sipendi giza eeeh
Napendaga Jesus eeh
Mi sipendi giza

Vile unafanya ndo vile nafanya
Vile unataka ndo vile nataka
Ukinikanya naacha kufanya
Sitaki maringo sitaki ati fanya

Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na  (aaah)
Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na  

Nataka Yesu yuko wapiii..
Soma Bible halla halla
Nataka yesu yuko wapiii..
Soma Bible halla halla

Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na
Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na  (aaah)
Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na  
Aaahhh…. Aaaahhh….

Me nafollow your footsteps
Ndio hawa my children
Nawaonyesha your footsteps
Iwe monday ama Tuesday
Here...
Niko hapa
Am here to stay

Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na we
Yesu ni mimi na we, Yesu ni mimi na

Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na  (aaah)
Yesu ni mimi na... Yesu ni mimi na  
Aaahh…

 

Watch Video

About Yesu ni Mimi na Wewe

Album : Yesu ni Mimi na Wewe (Single)
Release Year : 2019
Added By : Huntyr Kelx
Published : Jan 09 , 2019

More KEEPITREAL Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet



About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl