Finally Lyrics
Finally Lyrics by BEKA FLAVOUR
Ana-ana doh
Nimekuappointi milele daima
Mtoto upo konki ukidamshi nakufa mazima
Urangi usiseme unawaka ukipaka henna
Jicho regerege ukinitazama nasimama wima
Dede
Twende mbele, turudi nyuma
Umekamilika kila kona
Hizo nywele,
Huko nyuma umenichanganya changanya mtima
Ulivyo wa moto, moto unanipa mimi midadi
Tutimize ndoto nikutunze ka zawadi
Tuzae katoto kanicall me call me daddy
Napenda mideko, kifuani unavyo daggy
Finally, final oh...final game eeh
Vile unanikoshaga we ni bonge la dem
Finally, final oh...final game eeh
Vile unanikoshaga we ni bonge la dem
We ndo paracetamol iyee
Cetamol uwoo
Cetamol wanitibu maumivu
Kwangu we kama tabibu
We ndo paracetamol iyee
Cetamol uwoo
Cetamol wanitibu maumivu
Kwangu we kama tabibu
Tattoo kachora kwa mgongo
Yake shingo twiga beiby konjo
Kaduu kananipa michongo
Yeye mtumbwi mimi pondo
Ata nyimbo anapenda za msondo
Marijani na japu na za kwangu
Very smarti longolongo
Hayajui maringo japo chongo
Hapendi ngojera
Ana kiuno dondora
Wakipiga ma shooti besera
Wanamtongoza kinyemera
Mmmh nahisi nimekerwa
Kujiona nami nimechelewa
Mie kibini yeye tela
Ya dabo dabo kanogewa
Finally, final...final game eeh
Vile unanikoshaga we ni bonge la dem
Finally, final...final game eeh
Vile unanikoshaga we ni bonge la dem
We ndo paracetamol iyee
Cetamol uwoo
Cetamol wanitibu maumivu
We ndo paracetamol iyee
Cetamol uwoo
Cetamol wanitibu maumivu
Kwangu we kama tabibu
Finally, final...final game eeh
Vile unanikoshaga we ni bonge la dem
Finally, final...final game eeh
Vile unanikoshaga we ni bonge la dem
Watch Video
About Finally
More BEKA FLAVOUR Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl