Siwezi Lyrics
Siwezi Lyrics by RUTH WAMUYU
Wo wo wo… Wo wowo
Yeh yeh yeh
Wani andalia meza
Mbele ya maadui zangu
Waniandalia meza
Mbele ya maadui zangu ooh
Niled eeh niywe eeh
Mbele ya maadui zangu ooh
Niled eeh niywe eeh
Mbele ya maadui zangu ooh
Siwezi… siwezi (Mungu waangu)
Bila wewe Yesu siwezi
Nakuhitajii
Siwezi… Siwezi (Mungu waangu)
Bila wewe Yesu siwezi
Siogopi ni salama
Ukiwa karibu nami
Siogopi ni salama
Ukiwa kaaribu nami
Wanichunga wanitunza
Siogopi ukiwa na mimi
Wanitunza, wanichunga
Siogopi ukiwa na mimi
Siwezi… siwezi (Naioua mikono yangu)
Bila wewe yesu siwezi (masia ee Nakuhitjii)
Siwezi (Mchungaji mweema)
Siwezi (Kilaa saa…)
Bila wewe Yesu siwezi
Siwezi nainua mikono yangu
Masia eeh… nakuhitajii
Mchungaji mweema
Kila saa… aye eeh
Mfariji kila saa
Sitishiki ukiwa name
Mfariji kila saa
Sitishiki ukiwa nami
Gongo lako, Fimbo lako
Wafariji moya wangu
Gongo lako, fimbo lako
Wa - fa – riji moyo wangu
Siwezi (Siwezi mimi)
Siwezi (Mchungaji mweema)
Bila wewe Yesu siwezi (Nakuhitajii)
Siwezi (Nakuhitajii)
siwezi (kila saa)
Bila wewe yesu siwezi
Siwezi bila wewe
Siwezi…
Siwezi bila wewe
Bila nguvu zako
Bila wewe yesu siwezi
(Wema na Fadhili zaako)
Siwezi (lini kuatee)
Siwezii
Bila wewe yesu siwezi
Siwezii
Watch Video
About Siwezi
More RUTH WAMUYU Lyrics
Comments ( 1 )
beautiful song! God bless you.
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl