Ndonga Remix Lyrics
Ndonga Remix Lyrics by JAY MELODY
Dua ilo katisha, eti mvua isinyeshe
Hiki kihali, kipite mbali
Tulia acha mapepe, anapepea mtima
Hapa nangoja nideke
Kwamba zumari kombe la chai
Yani walete walete
Eti anacheza, mkomboti wa chawidu
Na uno analikata
Yani mudogo, mudogo
Macho legeza malaini kama mwidu
Najichezea karata,nywele tozi la Kikongo oh mimi
Sa napagawa changanya (naumia Ndonga) oh oh oh
Anavonichaganyia uhondo (naumia Ndonga) oh mimi
Hata sina la kufanya (naumia Ndonga) oh oh oh
Anavonichaganyia uhondo (naumia Ndonga) oh badi badi
Limziki sabufaa, fujo zote humu ndani
Nawapigia kelele
Mnisamehe majirani
Tumezibwa ukuta, ndani raha rubudani
Naye ndo boss na leo yupo na mi chawa
Ouh ouh ouh bebi nifanye nimchnganye changanye Dullah
Au niwe kivurande nikupe za don masha churaa
Oh bebi nifanye nimchnganye changanye Dullah
Nalo penzi litutande wakati tunataka kulaa
Ooh bebi, sa napagawa changanya (naumia Ndonga) oh oh oh
Anavonichaganyia uhondo (naumia Ndonga) oh bebi
Hata sina la kufanya (naumia Ndonga) oh oh oh
Anavonichaganyia uhondo (naumia Ndonga) oh badi badi
Watch Video
About Ndonga Remix
More JAY MELODY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl