
Hujaona Bado Lyrics
...
Hujaona Bado Lyrics by JAY MELODY
Ooh naah nanaah
Oooh
Eti jay once again
Are you okay
Siunaona unashangaa
Na hapo sina nyumba wala sina moto car ooh ooh
Napendeza na kung’aa
Nanukia manukato utapigwa na butwaa eeh eeh
Naridhika kidogo nikipatacho
Napiga kazi si unajua tumeummbwa kula kwa jasho ooh ooh
Asa we endelea kula kwa macho
Nakuniita boss icho ndo kitu kifuatacho
Mbona bado bado hujaona bado
Ooooh bado na tena hujaona bado
Mbona bado bado aah hujaona bado
Bado na tena hujaona bado
Mbona bado
Ooh naah nanaah
We chicken pizza bugger makange pilau
Ugali mboga saba bila kusahau
Huwa napenda kufanya ibada kuomba walau
Nikijaze kibaba name nipande dau
Utaniona kama na masifa
Muda wote cheko amani linamwangikaa
Hebu tazama natosheka
Kuna muda sina hata mia hata mia ila napika
Naridhika kidogo nikipatacho
Napiga kazi si unajua tumeummbwa kula kwa jasho ooh ooh
Asa we endelea kula kwa macho
Nakuniita boss icho ndo kitu kifuatacho
Mbona bado bado hujaona bado
Oya wee bado na tena hujaona bado
Mbona bado bado aah hujaona bado
Bado na tena hujaona bado
Mbona bado
Anhaan hujaona bado
Mmmhh anhaaa hujaona bado shii
Watch Video
About Hujaona Bado
More JAY MELODY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl