Mziki Lyrics
Mziki Lyrics by DOGO JANJA
Mama kaniambia nikupende wewe we we
Na nisipokupenda mi nilaaniwe we we
Oh mama kaniambia nikuchunge wewe we
Nami nikikuchunga unichunge na wewe we
Na nikiwa safari nakuskiza wewe
Nikiwa na mawazo stress kila wewe
Ona wanakupenda watoto
Tena wanakupenda vijana
Ona wanakupenda kina baba ba
Tena wanakupenda kina dada da
Ukitaka lala niko hapa
Nitakubembeleza, mziki wee
Ukiwa na shida niko hapa
Nitakuliwaza wee, mziki wee
Ukitaka lala niko hapa
Nitakubembeleza, mziki wee
Ukiwa na shida niko hapa
Nitakuliwaza wee, mziki wee
Hata nikiboeka unanipaga vybe na mizuka
Nachotaka umenipa umeniweka juu umenikweza
Nilitaka kwenda Mungu baba yo pote ukanipa
Umenitoa mbali, ona sasa hivi leo naheshimika
Unipoze, uniliwaze
Mziki wee oh baby wee
Nisipotee popote mi nawe
Kwa ladha tamu unazonipa
Nawaza dunia ingekuwaje bila wewe
Na matafaiya yasingeungana
Nahisi bila wewe
Ona wanakupenda watoto
Tena wanakupenda vijana
Ona wanakupenda kina baba ba
Tena wanakupenda kina dada da
Ukitaka lala niko hapa
Nitakubembeleza, mziki wee
Ukiwa na shida niko hapa
Nitakuliwaza wee, mziki wee
Ukitaka lala niko hapa
Nitakubembeleza, mziki wee
Ukiwa na shida niko hapa
Nitakuliwaza wee, mziki wee
Ooh oh mziki wee...
Popote ulipo we jua nakupenda
Ukiniacha mwenzako sina pa kwenda
Popote ulipo we jua nakupenda
Ukiniacha mwenzako sina pa kwenda
Popote ulipo we jua nakupenda
Ukiniacha mwenzako sina pa kwenda
Popote ulipo we jua nakupenda
Ukiniacha mwenzako sina pa kwenda
Watch Video
About Mziki
More lyrics from Asante Mama album
More DOGO JANJA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl