SIMBA Lyrics
A Special Song For Tanzanian Football Champions Simba Sports Club! - Tanzanian superstar Di...
SIMBA Lyrics by DIAMOND PLATNUMZ
Oooh waiteee...
Kumekucha jamaa
Nishafanya yake mnyama
Oooh kumekucha jamaa
Nishafanya ya
Aga waambie simba
Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi
Simba kiboko yao
Oooh taifa kubwa
Simba kiboko yao
Oooh this is simba
Simba kiboko yao
Ona Manara anacheza
Anashangilia ushindi umekuja
Moh anaruka ruka
Anashangilia ushindi umekuja
Yule dada anakata
Anashangilia ushindi umekuja
Wahuni wanaruka ruka
Anashangilia ushindi umekuja
Na tutamfunga yeyote atakaye kaa mbele
Si wanawashwa tutawakuna upele
Chenga na pasi ndio zetu kama mbele
Oooh magoli mashuti kama Pele
Wataweza wapi jamaa? Wakwende zao
Kushindana na mnyama, Wakwende zao
Oooh wataweza wapi jamaa?
Kushindana na msimanzi
Aga nasema simba
Simba kiboko yao
Waambie wekundu wa msimbazi
Simba kiboko yao
Haina mpinzani
Simba kiboko yao
Oooh mabingwa wa nchi
Simba kiboko yao
Ah wanachama wanacheza
Wanashangilia ushindi umekuja
Mashabiki wanaruka ruka
Wanashangilia ushindi umekuja
Oooh nguvu moja
Wanashangilia ushindi umekuja
Hadi wale wanaruka ruka
Wanashangilia ushindi umekuja
Oya mnyama anakula HAM!
Mnyama anang'ata HAM!
Oya mnyama anakula HAM!
Mnyama anang'ata HAM!
Anawatafuna HAM!
Anawameza HAM!
Anawatafuna HAM!
Anawameza HAM!
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!
Napenda Simba mi shabiki wa damu
Napenda Simba mi shabiki wa damu
Mi mwenzenu shabiki wa damu
Napenda Simba mi shabiki wa damu
Nani baba wanangu nani baba? Simba!
Nani baba wanangu nani baba? Simba!
Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba!
Nani bingwa wa nchi nani bingwa? Simba!
Kama unapenda Simba puliza Vuvuzela
Eeh kama unapenda Simba peperusha bendera
Ah kama unapenda Simba puliza Vuvuzela basi
Kama unaipenda Simba peperusha
Asa twende, peperusha bendera
Wanangu bendera
Nione bendera, waonyeshe bendera
Nyekundu bendera, nyeupe bendera
Ya simba bendera
Humo humo
Waitee, aah
Waambie hii ndo timu
Yenye mashabiki wengi East Africa
Na yenye makombe mengi East Africa and Central
Iliyofanya vizuri zaidi kwenye mashindano
Makubwa Africa kuliko club yeyote
Na ati ndo kufunga yeyote
Watoto wa Mfibwazi
Bado sijaskia, miluzi
Sijaskia milio
Wanangu miluzi nisikie milio
Wa kule miluzi wa huku milio
Nisikie miluzi wanangu milio
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!
Eeh kidedea!
Watch Video
About SIMBA
More DIAMOND PLATNUMZ Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl