DOGO JANJA Shindulia Chini  cover image

Shindulia Chini Lyrics

Shindulia Chini Lyrics by DOGO JANJA


Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini
Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini

Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini
Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini

Me I feel dem, me I back down
Bad mind pon beat me I rush dem
Shindulia, ukiwa club mi napenda unavyoshindulia
Go down low baby gal say shindulia

Booty bounce, booty bounce mpaka chini shindulia
Boom boom baby, wacha nipapase mpaka nizame down
Sio moja tu ya doggy maana unavyonigusa 
Mpaka nacheza goki

Washkani bila bao, wakundabu nawakuza
Hata ukiwa dogo nami nitakukuza
Sina la kusema kwa picha yawajuza
Uko na mad mad guy sio Sharo toka Buza
Nitakupika utaiva I'ma a wood cooker

Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini
Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini

Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini
Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini

Nashindulia down, nikishinda nashindulia up
Nashukisha kwa chini tu, miguu naweka juu
Nashindulia mpaka sakafu ikatike
Shindulia mpaka umeme ukatike
Shindulia, shindulia, shindulia

Paa imepata mkandarasi
Napojenga kwa mwendo kasi
Shindulia kama zege kwa karai
Shindulia kama simiti baadae
Shindulia tambua sege hailali
Kweli tofa la madai, shindulia 

Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini
Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini

Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini
Shindulia chini, shindulia chini
Shindulia, shindulia, shindulia chini

Watch Video

About Shindulia Chini

Album : Asante Mama (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 MMB (Manzese Music Baby)
Added By : Huntyr Kelx
Published : May 29 , 2021

More lyrics from Asante Mama album

More DOGO JANJA Lyrics

DOGO JANJA
DOGO JANJA
DOGO JANJA
DOGO JANJA

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl