Pole Pole Lyrics
Pole Pole Lyrics by DOGO JANJA
Moyoni mwangu upo wewe
Hakuna kabisa
Tulale njaa niko nawe
Hakuna la visa mwingine
Yaani weee nami, nami na wewe
Yaani weee nami, nami na wewe
Mabaya nimeyakataa
Kifaranga umenikumbata
Hawatuoni tumezima taa
Tunapuliza wakishang'ata
Mimi napenduka ubani
Tutupe mbali jirani
Kula muda kashindani
Waambie lady hatushindani
Twende pole pole pole
Pole pole pole
Twende pole pole pole
Pole pole pole
Yaani usijegeuza chendarua
Ukatoboa toboa mi
Mimi mwenzako nitajiua
Kidogo chako twafurahia
Yakutoka mbele, masafi yako yaokotezea
Yaani weee nami, nami na wewe
Yaani weee nami, nami na wewe
Mimi na upendo kama ubani
Utupe mawe gizani
Lamba asali mzingani
Waambie lady hatushindani
Twende pole pole pole
Pole pole pole
Twende pole pole pole
Pole pole pole
Watch Video
About Pole Pole
More lyrics from Asante Mama album
More DOGO JANJA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl