Chagamaa Lyrics
Chagamaa Lyrics by YOUNG KILLER
Wanasema, ukileta papara unaachwa na muda
Ila, inayofelisha biashara huwaga ni lugha
So wake up, kesha kwa swalaa
Acha kuruba brother madhara
Akosaye kunichagua
Huwaga ni makubwa bundaa
Kabariki kumekuwa little jiongeze
Hatua zone more, mbele ya doh tujisogeze
Hapa ukiniletea ubishoni inabidi nikueleze
Kuwa mate yangu yana dhamani bro
Kuliko kutemea bora niyameze
Ni headache, wakati si wa kutafutana
Pesa zije onekana
Ni presha za mchana mchana
Hatari tu
Mnaeza chat mnafurahishana
Wazi mnachoreshana
Hizi kazi zina stori pana
Tukaze supuu
Na kuvutana huku
Kujitafuta!
Ngumu kwenda sehemu
Usiyo ijua katu
Ila kwa doewa tu!
Utakumbuka kuwa hakuna
Friendship ya wanyonge na Mungu watu
Alafu, usipokaza utoke ulipo hauendi
Na ulivyo simple, utazusha huyu people hajipendi
Cz hatupo wengi pasipo shikika tumeshika
Na pasipo fikika tumefika, Oh my God
Sio kila aliye na tochi
Kwenye giza hawezi potea
Hata mwanga unapoteza
Huh! First, get the money
Then respect, then the power
Then woman as your flower
Tia huruma ubaki chawa
Ubaki nyuma unapagawa
Ofcourse hatufanani
Ila kuchinja ng'ombe ajili ya ngozi
Kutwa haiwezekani
Utakufa haujala mbivu
Ka hujisomi na hujioni
Haukomi!
As well sometime
You need to be alone
Issue simango kufa usifiwe shujaa hakomi
Hafuti machozi akiwa bado analia hadi afike mwishoni
Hamuoni watoto wanachoreka
Au pia hamjui kinyume cha kushoto na kucheka
Ni kulia
Tazama tunavyo ikazia njaa
Mbele walokataa twashika
Alafu wanashikwa na kichaa
So what the f** hahahaa...
Sio kila aliye na tochi
Kwenye giza huona
Hata mwanga unapoteza
Ho, ho, yeah
Ukimwaga chozi tuna loose hii cargo
Cz no one knows your real struggles
They only see your trouble
Japo mechi hii haiishi
Yaani ya sisi na mawazo
Vikwazo na sisi
So don't take it easy men!
Watch Video
About Chagamaa
More YOUNG KILLER Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl