Mungu na Masela Lyrics
Mungu na Masela Lyrics by RAPCHA
Maskani tukipita wakaniona
Roho zao zinawachoma
Hawataki Nidake Salio 'Namba'
Wame-tight kila kona
Masela eeh
Chap chap usikae tu kibwege
Ki-stone ku-siz na mbege
Bongo ka Kuna ubwege
Kinachotutesa ni umaskini chuki na nyege
Text moko DM kisha akanivutia waya
Nkaibuka Dar na mziki wanauskia now
Fame ndo imefanya saa hii mi nakoa
Pisi Kali ka mtoto wa Khadija Kopa now
And she be like baby
Kama utakua ready
Tuweke wazi mahusiano yetu kila page
Rick Media, Millard Ayo watuweke main page
It's Official en we on to the Next page
Oyaaaeeeeehh eeh yah yah
Mungu na masela
Mungu na masela, oh yaah yaah
Mungu Na Masela
Mungu Na Masela, oh yaah yaah
Mungu Na Masela
Mungu Na Masela
Maskani tukipita wakaniona
Roho zao zinawachoma
Hawataki Nidake Salio “Namba”
Wame-tight kila kona
Washkaji Mnataka nini? Cash Tu!!
Maskani Tunakula nini? Vitu!!!
Bongo hatutoboi kisa nini? Gubu!!
Na Wachumba wanataka nini? Rungu!!
Nshashtuka Wanahate na na Wana-paste
Ila huwezi futa pale Jah anapo-bless
Mto nauvuka Mamba namcheki Sikwepeshi
Mbele Kuna Tuta Acha nikazie seat belt
Waki-mind tutafutane tu fresh
Wanajua pakunipata Sio kesi
Machizi wa kweli tunajuana tu fresh
New friends I'm sorry
Oyaaaeeeeehh eeh yah yah
Mungu na masela
Mungu na masela, oh yaah yaah
Mungu Na Masela
Mungu Na Masela, oh yaah yaah
Mungu Na Masela
Mungu Na Masela
Maskani tukipita wakaniona
Roho zao zinawachoma
Hawataki Nidake Salio 'Namba'
Wame-tight kila kona
Watch Video
About Mungu na Masela
More lyrics from Wanangu 99 album
More RAPCHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl