Tunajimwaga Lyrics
Tunajimwaga Lyrics by RAPCHA
Hii sound ndio wana wanaipenda
Popote wana-vibe wanacheza
Show me now kama you can dance
Onesha ka unafeel hii sound
Ushanipata!
Ladies whine.. whine.. whine
Show them ka uko fine fine fine
Wanangu wako high wana-blaze
Chunga usiwadisturb (oooh aaaiyaah)
One time for my Shytown girls (Oyeaah)
Two times for my A-Town girls (Oyeaah)
Three times My Dar-es-salaam girls
Me I got love for you
(Yeah yeah yeah)
One time for my Rock City girls (Oyeaah)
Two times for my Dodoma girls (Oyeaah)
All my Tanzanian girls
Me I got love for you
Tunajimwaga!
Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
Tunajimwaga!
Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
Tunajimwaga!
Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
Naona watu wameshona
Wengi kinoma
Wanaruka mangoma mhh aaah
Tunajimwaga
Mziki unanoga nayaruka
Nenda nao, rudi nao
Mziki unanoga nayaruka
Nenda nao, rudi nao
Zikikita ngoma jisogeze
Tujipongeze Tucheze
Na Pesa kila kona ijitokeze
Tusiipoteze nyingi tuongeze
Wanangu force mpaka iwe (iwee)
Changa changa mpaka iwe (iwe we we weeeh)
Kama noma acha iwe (iwee)
We ng’ang’ana mpaka iwe (mpaka iwe) ah!
One time kwa wanangu wa maghetto (Ooo yeah)
Two times kwa mahustler msoto (oyaaa)
Three times kwa machizi wenye ndoto
Tutaishi good life tu
Tunajimwaga!
Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
Tunajimwaga!
Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
Tunajimwaga!
Mhh jaga mh! aah mh! jaga mh!
Naona watu wameshona
Wengi kinoma
Wanaruka mangoma mhh aaah
Tunajimwaga
Watch Video
About Tunajimwaga
More RAPCHA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl