Wanangu Lyrics by RAPCHA


Nina love na wanangu wote
Niggaz I can die for
Hard times good times Tupo wote
Ibaki hivyo

Nina love na wanangu wote
Niggaz I can die for
Hard time good times Tupo wote
Hao ndo nashiba nao
Hao ndo nashinda nao njaa
Hao ndio nnaokula nao raha
Hao ndio napambana nao kwenye mabalaa
Tumeanza from nothing to something tokea mtaa

Walipo mi Nipo
Na huwezi kuwa-diss ka mi nipo
Afu Lifestyle yetu easy kama kawa
Nna-roll na wanangu err-day sina chawa (yeh)
Popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana
Usilete pigo zako za unafiki eeeeh eehh

Sema nao wana
Wenye Love na mie (Wana)
Watoto kali na ma-gangsta
Mtaani nina wana
Wenye love na mie (WANA)
Watoto wakali na ma-gangsta

Wanao gucci gang afu mi msela
Wanapenda slope eh!? waambie kuna jela
Wao wakiona tuna-flex huwa inawakera
Ndo maana hatu-mix nao coz we ain’t jealous
Washakuwepo wana waliojaa cheko Nlipokuepo
Nilipotoka wakaniua (Aaaf nawajua)
Hapa nlipo sio mchezo jua
Uliza kiatu, kwanza bei yake unaijua!?

No shobo, mikausho mob
Mi na marafiki zangu no shobo
No shobo mikausho mob
Mi na marafiki zangu no shobo

Kaa mbali pande za wanangu ni hatari (Yeah)
Hatutegemei zali, puff puff moshi kwenye dari (Yeah)
Popote nnapokua na marafiki upendo unaonekana
Usilete pigo zako za unafiki eeeeh

Sema nao wana
Wenye Love na mie (Wana)
Watoto kali na magangster
Mtaani nina wana
Wenye love na mie (Wana)
Watoto wakali na ma gangster

Watch Video

About Wanangu

Album : Wanangu 99 (Album)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Bongo Records
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 15 , 2021

More lyrics from Wanangu 99 album

More RAPCHA Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl