Ready Lyrics by NAIBOI

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy

Mashine gas niko ready kushoot
Uko ready kudedi? Are you ready
Unastudy my every move, ready
Uko ready tugredi, are you ready

Unakaa una mpango na mi
Uko ready kuspendi
Weekday ni katricky daddy
Uko ready wikendi? Are you ready

Ngoma imetoka stable daddy, ready
Uko ready kushaky, are you ready
Kwa kona na the homies nani, ready
Naita sisters already, are you ready

Chakula tunakula mami, ready
Uko njaa tukucheki, are you ready
Akili si ni nywele aki, ready
Wenye vipara tuwacheki

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy, Are you ready?

AY
Fast till lane then you earn it
Kiuno -- mpaka uno feni
Kusota mpaka kuwa na mapeni
Ah ah are you ready

Nipe nafasi uone vile ambavyo, niko ready
Ondoa wasi ili upate mawoo, gedegede
Ukiona muda huu manzi anabamba 
Na kwa hio -- iwe bumper to bumper

Master hebu pass the karasia
Ju peng kama tupo utopia
Hakuna atakayekueleza kitu manze
Wewe gonga vitu kisha uliza 

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy

Are you ready jeshi imefika jo na makelele
Pombe leo tunakunywa watubebeba
Usipime pia tumekuja na mababy, na mababy
Tu na mababy

Watch Video

About Ready

Album : Otero (EP)
Release Year : 2021
Copyright : (c) 2021 Naiboi Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
Published : Nov 01 , 2021

More lyrics from Otero (EP) album

More NAIBOI Lyrics

Comments ( 0 )

No Comment yet

About AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl