Kenya Power Lyrics
Kenya Power Lyrics by NAIBOI
Nakam thru' ka ile doh unategea
Kukam thru' ka ile ndoto unaotea
Kisafi shinda hata maji unaogea
Wanapotelea vile ninatokea
Harsh harsh vile mnaongea
Cheza sista chini hapa sisi haina
Isifike kesho uskie aki maina
Tuko major league track ma designer
Kutesa si unajua ni kama kawaida
Kumeza pia mia mia kama Khalifa
Tujenge na madrinks ama moshi, aidha
Vile namguza anaaniita my das
Ana paukwa ana pakawa
Ana kazima mi nakawasha
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Ana paukwa ana pakawa
Ana kazima mi nakawasha
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Ma non-believers sasa wanajionea
Pigwa na ile udeadly hata hawajazoea
Pande hizi chati tumemwaga mbolea
Mapatikano fisa hao watapotea
Nina date na kawine hapo kando lazma
Anadai look good kwa TV yake plasma
75 Inch baby hapo sasa
Mungu tutangulie si hutoa sadaka
Na alisema Ethiopia wapi lighter
Mi ndio coaches still the fighter
Cargo mi hukaza bado zile tighter
Vile nachafua Kalonzo wapi wiper
Ana paukwa ana pakawa
Ana kazima mi nakawasha
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Ana paukwa ana pakawa
Ana kazima mi nakawasha
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Nakam thru' kama gossip receipts
Ma naija oga wako like 'wetin be this'
Na vile naipiga ako weak in the knees
Sikubali defeat unaeza spill the tea
Juu kamejaa to the beam
Hii feeling ni fit
Kidole cha gumba tumenyaka the streets
Wanapiga nduru vile wananifeel
Hashtag miniskirt thighland is healed
Ana paukwa ana pakawa
Ana kazima mi nakawasha
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Ana paukwa ana pakawa
Ana kazima mi nakawasha
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Tuko unpredictable kama Kenya Power
Watch Video
About Kenya Power
More lyrics from Otero (EP) album
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl