Uwi Lyrics
Uwi Lyrics by NAIBOI
Oh she say she likes it
How I give her vibes
Ako na nida kwa akili
But am the one she likes
Mchezo yake tight anacheza polite
Na vile toto ameiva anadai kuwa wife
Anapenda dombolo tukiwa solo
Simu inazima speaker zinaimba, tukiwa solo
Anapenda ndombolo, ya solo
Picha zinapigwa, Insta naanikwa
Ati nimelamba lolo
Stingo zake ni za AEIO, uwii
Ni za AEIO, mama mama
Stingo zake ni za AEIO, uwii
Ni za AEIO, mama mama
Aki vile mi napenda watoto
Ni kama nilirogwa
Kwa baridi iwe joto
Vile mi napenda watoto
Hata wanitende mwenzako sikomi
Ooh sikomi
Unakumbuka yule wa dimple
Mwenye ana lines kwenye shingo
Juzi alislide ndani ya inbo ooh
Mtoto mkorofi anapenda fimbo
Alinicheza ni kama wimbo
Oh sikujuwa itakuwa hivo
Stingo zake ni za AEIO, uwii
Ni za AEIO, mama mama
Stingo zake ni za AEIO, uwii
Ni za AEIO, mama mama
Atis alert, atis alert
Yaani kujichunga for me
Atis alert, atis alert
Twende wote Nairobi Kampala, ayee
Mtoto amejibeba
Kigali Kinshasa, ooh ameweza,
Anachanganya
Dar es Salaam Mombasa, mtamu kama pweza
Wanachanganya
Harare Mauritius, tunawapenda wote
Wanachanganya
Watch Video
About Uwi
More lyrics from Otero (EP) album
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl