Jam Lyrics
Jam Lyrics by NAIBOI
Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam
Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam, haja gani ajam?
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam, ata ka ni ya bar
Tupige kasherehe pande gani?
Hapa kila mtu amebamba wake
Kwani rada gani? Nadai rada safi
Otero mambo mbaya mi ndio baba yake
Kwani rada gani nadai rada safi
Otero mambo mbaya mi ndio baba yake
Aiya Cate naye vile kamesimama
Macho macho usijitege kamba
You only live once kama mbaya mbaya
Jipange we mwenyewe usipitie choir
Sikia wamejam siku hizi nimechange diet
Wamejam vile bei pia mbaya
Wamejam ju siku hizi wakinicall
Ni mteja wa nambari....
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam, haja gani ajam?
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam, ata ka ni ya bar
Ati wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Ati wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Niliweka nywele yangu dye wakajam
Nikasema Femi bado Uno wakajam
Sai fine gyal pengting si wanakam
Sikia umejam juu kalenda imejaa
Jah Jah bless me
Ameniweka fiti mbele ya enemies
Acheni utoto Femi bado plan literally
Things weekendi mi ni daily
Kustand or cheki mi sispendi
Naskia wamejam siku hizi nimechange diet
Wamejam vile bei pia mbaya
Wamejam ju siku hizi wakinicall
Ni mteja wa nambari....
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam, haja gani ajam?
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Si mtajam na hii jam, Tutajam na hii jam
Mtajam na hii jam, ata ka ni ya bar
Ati wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Ati wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Wameshika nare, nare eh
Nare nare eh
Watch Video
About Jam
More lyrics from Otero (EP) album
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl