Ntilie Lyrics
Ntilie Lyrics by NAIBOI
Mmmh mmmh
Mmh mmh mmh mmh mmh
Wouwo wouwo wouwo wowoo..
Kikulacho ki nguoni mwako
I'd rather it be you nyako
Kaki mia kaka mako..
Na time kuna noma
We hunipigania tunabonga
Na hivyo ndo mapenzi inanoga
Wakicheki tu masiku zinasonga
Gal you bad to the bone
We ndio smile you touch my soul
I can not go on
Without you anymore
When I feel a love so strong
Alafu tena ina donjo
Inamake you utake kionjo
How beautiful, how beautiful
Love so real
Alafu tena ina fulfill
Inamake utake kionjo
How beautiful
Basi nichekeche (Chekecha)
Nichekeche mama nipakulie (Pakua)
Pakua mama unitilie (Nitilie)
Nitilie mama niwaringie (Ringie)
Waringie, nitilie
Nichekeche (Chekecha)
Nichekeche mama nipakulie (Pakua)
Pakua mama unitilie (Nitilie)
Nitilie mama niwaringie (Nitilie)
Waringie, nitilie
Mmmh mmmh
Mmh mmh mmh mmh mmh
Wouwo wouwo wouwo wowoo..
So much to loose, so much we do for love
Save my tomorrow, girl you are the one
If she givin' wanna vibe out
Who never guess she is the wild one
Some of them wana uoga sana vile watafanya
So you really wonder why now
Why I feel safe in your innocence
Nipatie mkono fuata moyo
Unichague si wengine
Let's break it back
Yes I feel love so strong
Alafu tena na donjo
Inamake you utake kionjo
How beautiful, how beautiful
Love so real
Alafu tena inafulfill
Inamake utake kionjo
How beautiful, how beautiful
Basi nichekeche (Chekecha)
Nichekeche mama nipakulie (Pakua)
Pakua mama unitilie (Nitilie)
Nitilie mama niwaringie (Ringie)
Waringie, nitilie
Nichekeche (Chekecha)
Nichekeche mama nipakulie (Pakua)
Pakua mama unitilie (Nitilie)
Nitilie mama niwaringie (Ringie)
Waringie, nitilie
Watch Video
About Ntilie
More lyrics from Otero (EP) album
More NAIBOI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl