KAPPY  Headbad cover image

Headbad Lyrics

Headbad Lyrics by KAPPY


Yo Kappy 
Inataka mnaniita Aladin
Ju venye natema ni ka nilimaliza scene
Syke haishiki 
Na biz mi natema ni ya doh pekee
Na ka tsunami tizi na bangi ndani zii

Mi nadealingi na magwiji
Na venye mi nakam daily mi husemaga mi hukuwa busy
Mistari mi hupika na ice
Ndio maana zihukujaga zikilambika kibaridi

Na ju ni ma niliwawachia idhaa
Ya kuchokoza simba nisafiri na mbogi mamanaza
Ngoma zangu mi hudeliver venye inafaa
Ndo maana mi hurembesha na chocha before ikam

Mi nangoja kafala katastuka
Mi ndio kunyamba kusema na we ndo kunusa
Nishamada ngori buda mi ndio killer
Sibishani na kipii ka najua mi ndio winner

Mi ndio rapper nilitekaga your sister
Tukapiga manude wakaanza kutuanika
Siwezi bishana na mbogi za kukam
Mi hudealigi na yakuza sa mi nimejam

Mi hupendaga nikicheza na kish
Nikimdigi fiti na movie za ngwati
Aii acha nirudi tupashane na hawa mafala
Hudunganga mamini mandume na ni wamama

Na si nilitoka kwa dimanga venye inafaa
Na jasho na bidii ikafanya mi nikapaa
Cheki kadere ngonya mistari mashini na
Nakazana na kunyi magwado turi na ass

Ilibidigi niwatusi ni mabombo
Ju biz mingi zao ziliwaendea kombo
Kelele mingi ni ma mee mee kondoo
Ndo maana nazizima na ma mee mee bombo

Hizi macomedy nazichoraga solo
Ndo maana mathako yutumaga zake yellow
After hii ni collabo na Kartelo
Turorie na mabombe na matapeli wa ghetto

Kuswitch game manze mi ndio champe
Marapper chinku manze nimezima duram
Bado kuwadiss baadae nikisafisha
Viti mnachora manze jo ni za upuzi

Anyway nyi wote bado mnauguza
Mna ngoma za uduu bado rhyme za upuzi
Macollabo manze nimekuw choosy
Siku hizi mi ni bombe mi naflex kwa jacuzzi

Namcheki Shiks and alongside Suzy
Eka beef mi nachanganya mchuzi
Najenga chapo ndengu kudishi na Lil Uzi
Hawa mafala bado mi nawaibisha
Ju utiaji wao ulifanya wabuy shisha

Maandishi bado mi ndo kuwachora
Sijai bahatisha kuwavutiaga mauchora
Nina siz jo wawili jo wakora 
Na mi hupenda wakiririma wakining'ora
After all nimemada kuroroa
Nafunga mistari namada nikikohoa

Watch Video

About Headbad

Album : Headbad (Single)
Release Year : 2020
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
Published : Oct 15 , 2020

More KAPPY Lyrics

KAPPY
KAPPY
KAPPY
KAPPY

Comments ( 0 )

No Comment yetAbout AfrikaLyrics

Afrika Lyrics is the most diverse collection of African song lyrics and translations. Afrika Lyrics provides music lyrics from over 30 African countries and lyrics translations from over 10 African Languages into English and French

Follow Afrika Lyrics

© 2024, We Tell Africa Group Sarl