Ntakafunga Lyrics
Ntakafunga Lyrics by KAPPY
(Siren on the Beat)
Mshande ishajipa
Nko madoh afrikeka
Hii mwaka jo sitateseka
Nitashika hiyo dinga motikeka
Na gondo biggy ikijipa
Manzi mi nitakaweka
Ju hii mwaka ni mi nitakafunga, eeh
Eeh mi nitakafunga, eeh
Nilisemaga itajipa moshi kama mbitina
Zero mara sita koma mara mbili na
Nazozaga hii mwaka itabidi mmeitana
Juu me me ndo krnyoriro hapa mi ndo kusemanga
Nateka manzi yako orosho juu alinidedi
Na mi hudealigi na mapedi wote wa manyaa
Napokonya ushuru madonda wananikanja
Ju mi ndo Omondi maitha ingine mi ni Karanja
Mshande ishajipa
Nko madoh afrikeka
Hii mwaka jo sitateseka
Nitashika hiyo dinga motikeka
Na gondo biggy ikijipa
Manzi mi nitakaweka
Ju hii mwaka ni mi nitakafunga, eeh
Eeh mi nitakafunga, eeh
Unaskia mitari wanati ilikuwa ni movie
Ilichezeshwa mayolo sai imefika mpaka Dubiz
Na pesa ni nyingi leo nachange madinga
Leo ni Benz labda kesho jo nipate na Bima
Cheki, nataka dredi ka za Nelly the Goon
Na si, nataka manzi kama Vera Sidika
Buda, nataka studio nirecord mangoma
Jo nitoange vitu mbaya jo zichune kwa mbulu
Mshande ishajipa
Nko madoh afrikeka
Hii mwaka jo sitateseka
Nitashika hiyo dinga motikeka
Na gondo biggy ikijipa
Manzi mi nitakaweka
Ju hii mwaka ni mi nitakafunga, eeh
Eeh mi nitakafunga, eeh
Naskia niko madoh, naskia niko mbegeka
Nachoraga kidole warazi mi stawaweka
Nacheza ligi soo hii mwaka nashika shake
Nafunga na dorari hii mwaka niko pake
Ndo maana jeshi yangu na mtu na wake
Na shamba kia mashada na mamoshi zake
Mshande ishajipa
Nko madoh afrikeka
Hii mwaka jo sitateseka
Nitashika hiyo dinga motikeka
Na gondo biggy ikijipa
Manzi mi nitakaweka
Ju hii mwaka ni mi nitakafunga
Eeh mi nitakafunga, eeh
Natinga siri zangu ibakingi jo nimejam
Navunjaga na jeshi ibakingi mnastuka
Ibakigi ni mi mfalme siku zote
Nichorwe kwa manganya marapper wote watii
Wajuange nikikam genje ni mimi
Zaga nafunga mwaka na keja imejaa madoh
Na dinga kama saba zimechorwa world boss
Ju doba zangu zote mi huzifanyaga na roho
Mshande ishajipa
Nko madoh afrikeka
Hii mwaka jo sitateseka
Nitashika hiyo dinga motikeka
Na gondo biggy ikijipa
Manzi mi nitakaweka
Ju hii mwaka ni mi nitakafunga, eeh
Eeh mi nitakafunga, eeh
Mshande ishajipa
Nko madoh afrikeka
Hii mwaka jo sitateseka
Nitashika hiyo dinga motikeka
Na gondo biggy ikijipa
Manzi mi nitakaweka
Ju hii mwaka ni mi nitakafunga, eeh
Eeh mi nitakafunga, eeh
Watch Video
About Ntakafunga
More KAPPY Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl