Kiongos Lyrics
Kiongos Lyrics by MBOGI GENJE
Riambes genje, double genje
Nikusere nikugenje
Nimekwaria wa mbwegze
(Eyo Chino you Again?)
Swali moja ni ati leo kanashikia wapi?
Mali safi baby leo unabebwa na nani?
Venye umebeba si unajua niko inadi
Nikiwa maji huwa sichagui rangi
Leo tuko na watoto
Nisikuone ukidance solo
Mkulima lima poko
Hii baridi ya Nairobi inataka toto
So we do it like this
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down
Kwenye club kiongos
Nimesema pewa chupa
Pewa chuma get down
Kamata pitisha gode imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
[Smady]
Kama kawa nimewolan na wazing ting
Na mirista zinaflow kimissisipi
Nikisnadi wanajua si kutifin
Niko idhaa ya kutisa mangwariti
Tunaboss easy ju ni in ting
Inadisia time dis man ndo kingpin
Usitake jua riambes wapinkre
Nikuvybe na mapachu na machingri
Ju ya stuff wameyaku wamesoak
This time genje inwanywaku za kijoke
Bomper bwakala whine ia mdagala
Kabariang undercover kujichapa ndakala
So we do it like this
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down
Kwenye club kiongos
Nimesema pewa chupa
Pewa chuma get down
Kamata pitisha gode imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
Niko jug lakini njoti ulete
Ka ni ndae mi husoma na flet
Nina kalenda kwangu kama unataka date
Leo hadi paka ya mkamba iko wet
Kondiko kwenye wallet
Leo kuwateka iko kwenye budget
Nitalipa na MPESA wacha watu wakate
Leta Tusker na Gin hapa tukupate
Vodka kwa mdomo hauwezi skia achuu
Yako inatingika hata ukisimama statue
Niko kutu tunaweza anzia kwenye loo
Tukamalizie keja juu ya curfew prrr
So we do it like this
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down
Kwenye club kiongos
Nimesema pewa chupa
Pewa chuma get down
Kamata pitisha gode imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
[Guzman]
Nikiwa matings hutanikosa na tings
So sick na si ati tuko hospital
Shika hasse tukanashima hafere
Piga mileage shash kitu frontline
Kakinyce si hutema kukaanza
Wako too late ju sisi ndo malatest
Aluanda ashapaka ye ni bleacher
Siwezi burnt yaani kusnadi kwa pongi
Umebeba nyagu kumbe we ni paka
Kuziliet ni lazima mtapaka
Ukileta beef si mavegeterian
Haturiau nyagu sema masku
So we do it like this
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down
Kwenye club kiongos
Nimesema pewa chupa
Pewa chuma get down
Kamata pitisha gode imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
So we do it like this
Hao manguna, hao manguna
Wote wote get down
Kwenye club kiongos
Nimesema pewa chupa
Pewa chuma get down
Kamata pitisha gode imechachisha
Kama ngoko amedai chuma ndani lalisha
Tingisha kinyama, tingisha kinyama
Kama umebarikiwa tingisha kinyama
Watch Video
About Kiongos
More MBOGI GENJE Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl