SINA UJANJA Lyrics
SINA UJANJA Lyrics by LOMODO
Iyeeee eh !
Uuhhhh… uuhmmm Yeaaaaah
The African Princess
[Verse 1 : LOMODO]
Penzi kina kirefu nimeamini
Umenituliza
Hakia Mungu siamini
Yaweje we nwezangu na mimi
Hautoniliza
Kama samaki alotoka Baharini
Maana mapenzi unayonipa
Kwa mwingine sijaona
Sijala nanenepa
Walipochana umeshona hoooo
Wanipa raha sana we dada
Nje sitamani
Penzi lako tam tam
Wanipa raha sana we dada
Nje sitamani
Unavonipa mashamsham
[HOOK]
Eeh ! Nimenasa na nimenasika
(Sina unjanja)
Na sipapariki papariki mi kwako nimefika
(Sina unjanja)
Mieeee eeeeeh… kwako (Sina unjanja)
Mie eeeeh… (Sina unjanja)
[Verse 2: NANDY]
Hata na Mimi nitshatumbukia
Sihitaji kwingine
Nakuona king name malikia pengine
Dezo dezo unanidekeza
Kwanyimbo za pwani ukinichombeza
Kitandani ndo umeniweza
Nalala kama pono ukinibembeleza
Baba ooh Baba eeh, Utaniuwa aah
Baba ooh, Baba iyeeee
Maana mapenzi unayonipa
Kwa mwingine sijaona
Sijala nanenepa
Walipochana umeshona oooh
Wanipa raha sana we Kaka
Nje sitamani
Penzi lako tam tam
Wanipa raha sana we kaka
Nje sitamani
Unavonipa mashamsham
[HOOK]
Eeh ! Nimenasa na nimenasika
(Sina unjanja)
Nasipapariki papariki mi kwako nimefika
(Sina unjanja)
Mieeee eeeeeh… kwako (Sina unjanja)
Oh mieee eeeeh… kwako (Sina unjanja)
Nasipapariki papariki mi kwako nimefika
(Sina unjanja)
Oh mieee eeeeh… (Sina unjanja)
Mieee eeeeh Kwako (Sina unjanja)
Umenishika umenishika umenikamata ooh
(Sina unjanja)
Hmmmm, Iyé
Watch Video
About SINA UJANJA
More LOMODO Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl