Tukatiane Lyrics
Tukatiane Lyrics by HAMADAI
Habiti, ai sweety
Jina gani unapenda wewe? Ai wewe
Wapi tufanye kwichi kwichi
Chumbani ama kwenye miti miti?
Nakusikiza wewe, yaani wewe
Watembea na roho yangu
Mimi nimebaki kivuli tu
Wanyaku wambie wametoka kapa
Ah penzi umelitia pingu
Umeongeza na kufuli huku
Hadi utakapo mwenyewe
Ndo mambo swadakta
My beiby nikatie(Sawaa)
Nikukatie (Sawaa)
Tukatiane(Sawa sawa)
Aah aah
Kachori nikatie(Sawaa)
Kababii nikukatie (Sawaa)
Sisi tukatiane eh eh(Sawa sawa)
Aah aah
Aii nikatie(Sawaa)
Nikatie (Sawaa)
Tukatiane(Sawa sawa)
Ayayaya....
Nitakufuata fuata kwa vipochi pochi
Manoti noti, wakatae
Wakikukosa kwa chenga watakupiga dochi
Wamalize mechi, usizubae
Unastahili
Nikupatie japo shoti mbili
Ulewe, ulewe
Mtaani saga kachiri
Na mimi nipate japo viwili
Nilewe, nilewe
My beiby nikatie(Sawaa)
Nikukatie (Sawaa)
Tukatiane(Sawa sawa)
Aah aah
Kachori nikatie(Sawaa)
Kababii nikukatie (Sawaa)
Sisi tukatiane eh eh(Sawa sawa)
Aah aah
Aii nikatie(Sawaa)
Nikatie (Sawaa)
Tukatiane(Sawa sawa)
Ayayaya....
Usinivunje mwenzio(Sawaa)
Usinionee mwenzio(Sawaa)
Tunda la mti kati(Sawaa)
Kula lote lisibaki(Sawaa)
Beiby wa wasiwasi
Umeutoa wapi?
Achana na pipi basi(Sawaa)
Utamu wa ndizi karoti(Sawaa)
Si nimeleta koni
Umeificha wapi?
Sawaa, sawaa, sawa sawa
Watch Video
About Tukatiane
More HAMADAI Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl