Juju Lyrics
Juju Lyrics by DARASSA
Sio mapenzi ni juju
Haya sio mapenzi ni juju(Juju)
Angekuwa wimbo DJ angeurudia
Kila mmoja angecheza
Utamani kuimba na kuitikia
Kama kinywaji unaongeza
Rangi yake mavazi na shepu
Katikati ya mfupi na mrefu
Mi nadhania Mungu aliangalia
Akaumba mwanamke apendezeshe dunia
Ukisikia, sauti ya kukaa kichwani
Unavutia, malaika wa kupaa angani
Amazing, mwanamke wa kumweka ndani
Mwanamke wa kuspend money
Ale ale ale ale
Angekuwa wimbo Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Na kila mmoja angecheza
Ale ale ale ale
Mr Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Ale ale ale ale
Angekuwa wimbo Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Na kila mmoja angecheza
Ale ale ale ale
Mr Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Pita pita kwenye mitaa yao
Pita pita kwenye mitandao
Pozi picha na mambo kibao
Maisha yao tunasema nao
Mwanamke anafanya unachange
Hakuna binga wa kwenye mapenzi
Kuna wakati najibia
Asione kama namwangalia
Ni kama kajumba anavutia
Anapita kwenye njia(She a danger girl)
Mada nimezamia
Mi mwenyewe baharia
Ale ale ale ale
Angekuwa wimbo Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Na kila mmoja angecheza
Ale ale ale ale
Mr Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Ale ale ale ale
Angekuwa wimbo Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Na kila mmoja angecheza
Ale ale ale ale
Mr Dj angeurudia
Ale ale ale ale
Oya eeh yeah eh yeah eh...
Eeh hanimudu nakunywa sumu
Umenirudisha shule vidudu
Umenifunga mdomo ni bubu
Nasema sio mapenzi ni juju, juju Bang!
Haya sio mapenzi ni juju
Sio mapenzi ni juju
Haya sio mapenzi ni juju
Watch Video
About Juju
More DARASSA Lyrics
Comments ( 0 )
No Comment yet
You May also Like
Get Afrika Lyrics Mobile App
About AfrikaLyrics
Follow Afrika Lyrics
© 2024, We Tell Africa Group Sarl