Paroles de Ko Par EXRAY


Sipendi kubebwa wana
We utankatsia ukianza za umama
Mi hukuwa mpole but naeza kuwa mnyama
Naeza kuzima kileft kiright

Ulinichocha we ni heavy weight (Ona ume KO)
We ni champe huwezi zima (Sa mbona ume KO)
Hizi vitu piga everyday (Kamoja ume KO)
Ona sasa umezima (Saa moja ume KO)

Ulinichocha we ni heavy weight (Ona ume KO)
We ni champe huwezi zima (Sa mbona ume KO)
Hizi vitu piga everyday (Kamoja ume KO)
Ona sasa umezima (Saa moja ume KO)

Oya pass kindukulu, pedi ni wephukulu
Naririma mdagi chini ya maji niko mwikhulu
Mbosho na salasa, jaba rubber na katululu
Mteja hapatikani anamedi ako sululu

Matire na ni zile zinalipuka ka baruti
Dakika kumi futi sita ndani ya kaburi
Santuri Saida Karoli, shuksha nipe calories
Nyi mnachoma nyaru managu zangu ni brocolli

Shukisha, shukisha mdogo
Funika kisogo alafu tingisha msondo
Tuliza, tuliza mdogo 
Puliza kikoro alafu rudisha mkono

Leo huskii niko madawa wawa
Niko fly niko mabawa wa
Sitaki hio yako umegawa wa
Nataka ile mpya niskie wa wa wa

Asalala after umekiwasha ushalala
Leo siko Maziwa niko Malaaa
Unaeza nionea uone balaa
Oh, oka kamnyweso
Leta zote zote oka kamnyweso
Napiga mpaka zig zag oka kamnyweso
Niko kwote kwote oka kamnyweso
Nafinya mpaka rewind 

Ulinichocha we ni heavy weight (Ona ume KO)
We ni champe huwezi zima (Sa mbona ume KO)
Hizi vitu piga everyday (Kamoja ume KO)
Ona sasa umezima (Saa moja ume KO)

Ulinichocha we ni heavy weight (Ona ume KO)
We ni champe huwezi zima (Sa mbona ume KO)
Hizi vitu piga everyday (Kamoja ume KO)
Ona sasa umezima (Saa moja ume KO)

Light weight wa makali
Heavy weight wa mabangi
Light weight wa majani
Heavy weight wa macombi

Sikudishi nyama nilisosi sosi
Na mi ndo nilikata kuliko kikosi
Unableki aje faster kuliko hawa madem
Nasare madre mi sidai kuwa dead
Mi si member gang nareform aref
Ukipata form enda solo usinicall again

Ulinichocha we ni heavy weight (Ona ume KO)
We ni champe huwezi zima (Sa mbona ume KO)
Hizi vitu piga everyday (Kamoja ume KO)
Ona sasa umezima (Saa moja ume KO)

Ulinichocha we ni heavy weight (Ona ume KO)
We ni champe huwezi zima (Sa mbona ume KO)
Hizi vitu piga everyday (Kamoja ume KO)
Ona sasa umezima (Saa moja ume KO)

(It's Byron baby)

Ecouter

A Propos de "Ko"

Album : Movement Vol. 1 (Album)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Black Market Records
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Mar 01 , 2021

Plus de lyrics de l'album Movement Vol.1

Plus de Lyrics de EXRAY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl