Paroles de Rise to The Challenge
Paroles de Rise to The Challenge Par EXRAY
Ey rise to the challenge
Aki walai
Wacha nikushow, ni stori flani inaniwasha nikushow
December flani nilikuwa kwa show
Haijulikani venye nilitokwa phone
Erico na Pamala walikuwa combination sumu mnajua
Wakaniibia simu niko sure nikanunua ya kishua
Hawajua ndovu ni kuu, vile mi hutembea na kitu kuu
Ka ni simu nilinunua kuu, waskie kiwaru sa vile niko juu
Hawanijui
Saa ngoma ni imara, wasikutii waonyeshe ishara
We ni mzing waambie kinara
Si ni kuwin hatujui maswara
Aki walai
Wakiuliza ni akina nani
Ni akina nani, aki ya nani ni sisi walai
Wakiuliza ni akina nani
Ni akina nani, aki ya nani ni sisi walai
Basi walai washow washow eey
Rise to the challenge
Basi walai washow washow eey
Rise to the challenge
Weka pause, you know am the baddest
Tena nina chali gusa nikukamate
Mi natupia photo pale Insta
Machizi washabambika
Yaani mrembo bila filter
Lazima wataitika eey
Leo tunapakua, mavideo tukichakatua
Nabandika bandua
Kwa michezo hatua
Wakiuliza ni akina nani
Ni akina nani, aki ya nani ni sisi walai
Wakiuliza ni akina nani
Ni akina nani, aki ya nani ni sisi walai
Basi walai washow washow eey
Rise to the challenge
Basi walai washow washow eey
Rise to the challenge
Nitamatch na red si ni mi
Leo ni kupatch mnafaa mdigi
Sa ukicatch na si ni mabigi
Tunakuzoom na kuzoom in
Tenje ni serious kwani ni siri
Leo natokea kwanza na tuwili
Tushanawiri bila wakili
11 zote pro na niko willing
Bora ni caption, tag na caption
Tag na passion na side na fashion
Ebu amkeni tunalalisha
Ni sisi ndio tunamatisha
Wakiuliza ni akina nani
Ni akina nani, aki ya nani ni sisi walai
Wakiuliza ni akina nani
Ni akina nani, aki ya nani ni sisi walai
Basi walai washow washow eey
Rise to the challenge
Basi walai washow washow eey
Rise to the challenge
Ecouter
A Propos de "Rise to The Challenge"
Plus de Lyrics de EXRAY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl