
Paroles de Kiza Kinene Nandy ft Sauti Sol
Paroles de Kiza Kinene Nandy ft Sauti Sol Par WAMBUI KATEE
Gold boy, na malkia wamboo
Ni Kenya na Tanzania ahh
Drisa made this
Kiherehere kimeniisha
Leo nimekua simulizi
Kwa mpenzi wako, waninanga eeh
Zaidi yanisikitisha, eti nimekua
Chuma cha kafore, nipo juu ya mawe
Jikoni kwangu kaingia mdudu gani
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibua maji kisimani (oh salala aah)
Huenda sio fungu langu nmekosea kuchagua
Nimezidisha change kimeota nyasi (mbagala aah)
Nilipita dirisha nafasi kuigombania aah (nikabanwa)
Kumbe basi limeja, na mlango upo wazi
Hayaoni mboni yangu (kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia ahh (kiza kinene)
Yaila ghidira yangu (kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyo egemea (kiza kinene) ahh
Have been trying not to dis you
Mwenzako mi niliko sina issue mpenzi
Hope uko sawa aah (My darling)
And I habe been trying not to miss you
Ila unapoenda kutwa yangu maumivu
Wee yangu dawaa owouoo
Chumbani kwangu kaingia kunguni gani
Mara kwenye kitanda mara kwa shati
Haya ni maruani, yanafanya nakosa Amani
Huenda sio fungu langu nmekosea kuchagua
Nimezamisha meli, yamekwisha aah
Nitawambia nini waingo omkhana achile waena ooh
Na mafeelings ingawa sijiwezi
Hayaoni macho yangu (kiza kinene)
Koroboi utambi umetumbukia aah ooh
Yaila ghidira yangu (kiza kinene)
Its never gonna be the same no no no ooh
Ecouter
A Propos de "Kiza Kinene Nandy ft Sauti Sol "
Plus de Lyrics de WAMBUI KATEE
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl