ADRIAN LOCI Fanya  cover image

Paroles de Fanya

Paroles de Fanya Par ADRIAN LOCI


Nadai kukachora fiti mi ndio Author hapa, Dayanka Ah
Bingwa hafai kujiprove so hard fanya kitu 
Hizi vitu hazifai kuwa Hard da da wanaifanya 
Ni kama hufai kuwa na kiti waonyeshe kidole usijipe 
Fanya hiyo kitu

Wao hujifanyanya hawafucks na di boy 
Ati ngoma zangu si kali, define hiyo ukali 
Unadhania ntakaa ningoje approval,  wapi
Suck 3 dicks ama door knob sijali
Loci hukuwa asset ka Joe Kadenge akichezea maragoli RIP the Legend
Long as niko kwa hii scene mtanijua na pembe 
Juu hii mlango siibishi ntaivunja brethren Uh 
Ntakuwet,  please beba towel
Egocentric ni mi nikiturnish 
Kazi yenye unafanya na mdomo haziambatani
All along hawa maboys hapa nje wanavanish 
So kazi usinipee mi nitaduu mimi 
Hata hizo shule nilisoma heri life teachings 
Atleast a better man is made out of the goon in me
Nikitaka sihesabiki kwa hizo vitu zenyu
Hiyo ni Upuzi

Nadai kukachora fiti mi ndio Author hapa, Dayanka Ah
Bingwa hafai kujiprove so hard fanya kitu 
Hizi vitu hazifai kuwa Hard da da wanaifanya 
Ni kama hufai kuwa na kiti waonyeshe kidole usijipe 
Fanya hiyo kitu

Ulidhani unatubeba isipokuwa we ndo fala 
Mi siezi kubali mtu akutaje mbele yangu
Buda unajicheza ukijiona mjanja 
Curtain zilipanda bars zikashuka tangu 
Nimechonga nimechonga nikafungua kichinjio ka maji mtungini nikatulia 
Gills zimemea kupindukia niite papa 
Chini ya maji maisha raha 
Fanya kenye hufanya ukijaa ngori skuizi toja zimejaa pori 
My G Toili tunaomoka si story
Im sorry ego ni ya Atwoli G
Story hailiki pesa motisha 
Mi hutupa watu kutoka kwa dirisha uh 
Hii maisha nakula kwa kijiko kubwa nikiteuka tu
Ondiko pass hiyo joint.

Nadai kukachora fiti mi ndio Author hapa, Dayanka Ah
Bingwa hafai kujiprove so hard fanya kitu 
Hizi vitu hazifai kuwa Hard da da wanaifanya 
Ni kama hufai kuwa na kiti waonyeshe kidole usijipe 
Fanya hiyo kitu

Ecouter

A Propos de "Fanya "

Album : Freewill (Album)
Année de Sortie : 2021
Copyright : © 2021
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Dec 20 , 2021

Plus de lyrics de l'album Freewill

Plus de Lyrics de ADRIAN LOCI

ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI
ADRIAN LOCI

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl