Paroles de Sijafika
Paroles de Sijafika Par ADRIAN LOCI
Nikiamka nataka kuona palm trees
From a Glass window nione Nairobi
Bendera ikipandishwa niwe choki
Nimetoka mbali na sijafika
Roho inataka more than this yeah yeah
From the block to the street sky scrapper
Hii ni maombi, Yeah
NImetoka mbali bado kufika
Nililose count ya loses, mpaka roho in the process
The more nachase the farther finish line huget sifiki
Ilibidi, niachane na watu expectations ni nyingi
Dissapointments in abundance utajihang kwa mti
Though Mungu halali
In the midst of all the problems i’m trynna stay sane
Look where i’m at, i’m a rider till i die labda headshots daddy
Hii ndoto ndio haizami pia hii moto haizimikangi
Vision yangu kubwa nanii
Isingekuwa Mungu yupo we ungenieka chini
Flashback nadrown chini ya maji sahii niko afadhali
Fast forward juu hii kiti inanifaa nakaa square
A long shot it is utamu wa pesa ni kuhustle
Kaza mwendo keep grinding mbio ni yako hatushindani
Ball kwako cheza safi game ni yako hatuulizani
Pressure ikiwa nyingi habits zi husawazisha
Na pesa ikiwa nyingi usijitupe ukitushika
Nikiamka nataka kuona palm trees
From a Glass window nione Nairobi
Bendera ikipandishwa niwe choki
Nimetoka mbali na sijafika
Roho inataka more than this yeah yeah
From the block to the street sky scrapper
Hii ni maombi, Yeah.
Nimetoka mbali bado kufika
I’m on the road to success, i barely made it but yes
I’m on a larger scale been trynna rule the house as a guest
Checkmates kwa chess smarten up ama utoe cheque
The same actions we undertake will always lead us to tests
Ay, a decade and seven kwa hii mtaa ya pesa
Siongelei my sad life Loci Kudos
Niko huku far east of Nairobi Utawala no heroes just Kilos
You try to act them haters throwing stones at a fellow
But you know, But i rise above all, sidai kuwa famous at all
But eventually you know me, he knows me she know me that’s all
I like to dream of elevators
Ain’t no purpose of eyes if a nigga got no vision
There’s something true about a statement that does sound like cliche
Omitions of the common sense make us look like ditches
Officially conflictors
Don’t get me wrong im just trynna see my city get strong
And pray one day i make it out me and my niggas at home
Nikiamka nataka kuona palm trees
From a Glass window nione Nairobi
Bendera ikipandishwa niwe choki
Nimetoka mbali na sijafika
Roho inataka more than this yeah yeah
From the block to the street sky scrapper
Hii ni maombi, Yeah
Nimetoka mbali bado kufika
Ecouter
A Propos de "Sijafika "
Plus de lyrics de l'album Freewill
Plus de Lyrics de ADRIAN LOCI
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl