Paroles de Telenovela
Paroles de Telenovela Par EXRAY
Tuliskia hampendi tukijipenda
Huskii ata hatujui kenye si hupenda
Mkingoja tuwachane tunajipenda
Venye mnangoja --
Jana ni action tu leo ni drama tu
Nashuku kesho tutadu?
Na movie tunataka ni telenovela
Hata tukuwe true, hii kitu inataka proof
Hio yote haiwahusu wanadai part 2 ya telenovela
Tele tele, tele tele tele ooh
Tele tele, yote anataka ikuwe telenovela
Tele tele, tele tele tele eeh
Tele tele, yote anataka ikuwe telenovela
Naskia niseme OMG
I'm in love with a Kenyan girl
Huskii ako simple physical
Tuko stupid in relationship
Hii ni companionship
Hii si internship
Ukiskia tumeachana tuko vacationship
Mapenzi ni ya ulaya but
Who do you love? Who do yo have yeah
Tukiwa mavitu tell me
Who do you --
Mkiwa so chic just do it
Please just do it
Hamwezi kuwa close na mkiss
Just do it please
Jana ni action tu leo ni drama tu
Nashuku kesho tutadu?
Na movie tunataka ni telenovela
Hata tukuwe true, hii kitu inataka proof
Hio yote haiwahusu wanadai part 2 ya telenovela
Tele tele, tele tele tele ooh
Tele tele, yote anataka ikuwe telenovela
Tele tele, tele tele tele eeh
Tele tele, yote anataka ikuwe telenovela
Tuko maji, tuko maji
Eeh huskii mi nimepewa na mapenzi
Hamwezi elewa
Wakienda kwa wall si tunaandika kwa skin
Hao wailers wanatupea on skill
Sijai jua hii love hukuwa real
Kabla tuachane inakuwaga big deal
Tunaeza argue tunaeza fight
Unaeza skia bado si hufichana
Tunaeza drive to end of story
Na hauskii bado funny things si hukulana
Tunaeza argue tunaeza fight
Unaeza skia bado si hufichana
Tunaeza drive to end of road
Na uskie bado funny things si hukulana
Jana ni action tu leo ni drama tu
Nashuku kesho tutadu?
Na movie tunataka ni telenovela
Hata tukuwe true, hii kitu inataka proof
Hio yote haiwahusu wanadai part 2 ya telenovela
Tele tele, tele tele tele ooh
Tele tele, yote anataka ikuwe telenovela
Tele tele, tele tele tele eeh
Tele tele, yote anataka ikuwe telenovela
Ecouter
A Propos de "Telenovela"
Plus de lyrics de l'album Movement Vol.1
Plus de Lyrics de EXRAY
Commentaires ( 0 )
Aucun commentaire pour l'instant
Vous aimeriez sûrement
Essayez l'application Mobile
A propos de AfrikaLyrics
Suivre Afrika Lyrics
© 2025, We Tell Africa Group Sarl