Paroles de Alright Par EXRAY


Yoh Taniua, Taniua
(It's Byron baby)

Nilicheki form flani kwa portal
Nikasema hii siwezi kosa
Hii sitalalisha siwezi ngoja
Naskia wamedunga mpaka bow tie

Niko tu up and down ka samosa
Ikifika ni kuwatoka mbota
Watajuaje nimekuja mbokta
Watajuaje nataka kuwaokota

Ah it's alright, it's alright
Nataka kuziwasha but it's alright
It's alright, it's alright
Nataka kuchachisha but it's alright

It's alright, it's alright
Nataka mi nicheat but it's alright
It's alright, it's alright
Anataka only stick but it's alright

(Pull Up, Pull Up mr ah-ah-ah)

Cheza chini cheza chini
Tukapupu tukasusu
Mmmh hmmm ukiumwa sana baba
Kimbia Pumwani kazae
Wholladem people this is a mashup ting
Rasta man called Exray
Dj bang again!!

Naingia bukla ka nanuka boza
Nataka ule ngeus anazoza
Akuwe na iyo tight bila ngotha
Tabia yake ikuwe imeoza

Kipeng iko kwa baki ni kiboza
Kipeng ndani ya panty ukirombosa
Leo si kabo ju na boxer
Wale wa videvu ni maboxer

Bafoo bafoo mi ni Vasco Da Gama
Shado mado leo naichapa ka ndarama
Mangoks mangoks wanakaa ka vifaranga
Machuom machuom na naichapa inalala

Niko tu up and down ka samosa
Ikifika ni kuwatoka mbota
Watajuaje nimekuja mbokta
Watajuaje nataka kuwaokota

It's alright, it's alright
Nataka kuziwasha but it's alright
It's alright, it's alright
Nataka kuchachisha but it's alright

It's alright, it's alright
Nataka mi nicheat but it's alright
It's alright, it's alright
Anataka only stick but it's alright

[Trio Mio]
Nimebangaiza na msee wa smokie mayai
Ju bouncer ni mtiaji ID sinaga walai
Macho zimelegea nakaa nikaa nimetoka Shanghai
Ngoko nategea si amejitapisha kwa ndae

Chachisha vile kunatupa ni ka amenyambisha
Kanja msee wa Uber anaeza safisha
Hapa ni kujituma unajikalisha

Pombe haiwagi supu tupunguze kujichocha
Heshma mtukufu nina rungu ndani ya trouser
Toto mtukutu niko na kutu narombosa
Ni mademakufu mdagi mdagi kuzitoka

Niko tu up and down ka samosa
Ikifika ni kuwatoka mbota
Watajuaje nimekuja mbokta
Watajuaje nataka kuwaokota

Ah it's alright, it's alright
Nataka kuziwasha but it's alright
It's alright, it's alright
Nataka kuchachisha but it's alright

It's alright, it's alright
Nataka mi nicheat but it's alright
It's alright, it's alright
Anataka only stick but it's alright

Kanapenda fimbo rungu ya masai
Naskia kamenosha kama thabai
Wiu wiu gari ya mapai
Popo ni mapai pai

Balance the ball balance the ball
Balance the ball balance the ball
I put it here, I put it here
I pepeta, I pepeta

Niko tu up and down ka samosa
Ikifika ni kuwatoka mbota
Watajuaje nimekuja mbokta
Watajuaje nataka kuwaokota

Ecouter

A Propos de "Alright"

Album : Movement Vol. 1 (Album)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Black Market Records
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Mar 01 , 2021

Plus de lyrics de l'album Movement Vol.1

Plus de Lyrics de EXRAY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl