Paroles de Irie Par EXRAY


(Kubwa)
Aah aah aah Taniua
Aah (Production master Teknics)

Mbogi, yeah, mbogi
State, yeah state state
State, yeah huh

Mbogi ni enemy of state, state
Nyambisha ju mbogi inafade, fade
Wambatke mambleina na check, quick
Lazima zinyanye weekend yoh yoh yoh

Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 

3 minus 1 ni 2
Kanyaga mwiba dungwa tu
Eer -- my crew shock ya matrue kwa tu, tuko stu
Juzi nilifaa kwenda majuu ndege ya tour ikanipata loo
Chama na PK ya blue mama alichama akahalla balloo
Imagine nafaa kuwa Chicago home niko baze na mpango wa kando
Ni maji nabuy tagi bango packo sikosi na juice ya mango
Imagine unafanywa Msando ukijidai anapigwa marando
Ekewa Rose ka Muhando unaeza chizi tu ju ya ng'ambo aah

Mbogi jogging, warogi yo chiene
Mbwogi madoggie rappogie wakwende
Hawataki prosper hawapendi ona success
Hawataki wakipaa wanacheza rafu kwenye race

Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 

Vitu wanafanya tulishafanya kitambo
Hakuna kipya wanaprove
Hadi bingwa nakemea mapepo madhabahu yangu kwa booth
Yeah ba dogo mikani upambe ushai vuta bomu umande
Kulala ubavuni ugande salute wanangu Migingo Utande

Tuko lit na hii nare haipoi
Utadhani ni Biwott zile masiku za Moi
Naona ndani ya nafsi zao
Jicho pevu jicho ex-ray mda wako si ulikwisha
Ulikuwa mbichwa umebaki kwa ash tray

Nawakilisha bahari la hindi am a pirate
MDMA nabembeleza mahisia macho zimedilate
Shetia ya kwanza kitaa ukipenda kuflex
Utarudi ocha shit, najua unadhani ati labda mi nakuchocha
Ama mi huwa nabonga shit

Utamaka utashtuka utaswallow taxin
Mogoka mogoka mogoka venye nachana
Motokaa motokaa motokaa 
Ndani wasichana ndani maprama
Na tukikutana huwa ni vibes huwa hakuna madrama

Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 

Naeza kutoss nilkufanye mbaya na itos
We ndo jokes ukiplay tena ntaipause
Bila body my girl usiforce we ni ghost
Restrictions ni madawa zote huskii ni za doze yeah

Segment make me, -- 
Mandege sipendi mamwere
Huwezi tuteka na mchele
Geri upate upele

Hupatani na hii mbogi si ni makaveli
Au kesi na hii mbogi si ni mawakili
Usiku sacco ka ni pongi si ni manjangili
Mistari zangu mi huchachisha kama mashairi

We ni ghasia, huskii we ni ghasia
Vita vyote violence, we ni ghasia
Huskii nafanya yote hii ni hatia
Mi nitawaachia ukianzia

Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 
Irie, Irie, Irie 

Gari ni 4by4 wilson chrome
Tint plus passengers za rome
Kalitaka doh ndo kata--
Nakuwanga on top mahaga naflow
Hapo tu kando ya show

Buda mi ni boss, nina work force
Huwa nawork by force, pigwa ma sha sha
You spare the rod you spoil the child
I want back and back nikajipata am back to the start
The hustle the muscles, the pain the passion
Seduction companions mara niko hapa mara niko pale
Ah ni kama mipasho mziki wa jasho
Pato lenye pato pato huwezi nipata bila pato
Hata kwa mkato ukweli wa mambo yeah

Ecouter

A Propos de "Irie "

Album : Movement Vol. 1 (Album)
Année de Sortie : 2021
Copyright : (c) 2021 Black Market Records
Ajouté par : Huntyr Kelx
Published : Mar 01 , 2021

Plus de lyrics de l'album Movement Vol.1

Plus de Lyrics de EXRAY

Commentaires ( 0 )

Aucun commentaire pour l'instant



A propos de AfrikaLyrics

Afrika Lyrics est la plus large collection de paroles de chansons et de traductions d’Afrique. Afrika Lyrics fournit les paroles des musiques de plus de 30 pays africains et des traductions de lyrics de plus de 10 langues africaines en français et en anglais.

Suivre Afrika Lyrics

© 2025, We Tell Africa Group Sarl